Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,716
Nahisi shughuli ndio imeisha sasa
To cry Out Loudly.......In case you didn't capture what I meant
Sio kagame..
umepata kunikumbusha kitu flani humu jf, kuna member 1 humu alienda mbali na kudiriki kunena eti "baba wa taifa la Zanzibar ni John Okelo"
Nilisikia watamzika na ng'ombe, So isingekuwa busara kama wangeonesha live ng'ombe hai akirushwa kaburini. Tamaduni zingine zinatisha sana shemeji.
Argument ya huyo mganda ni kuwa Mandela was in detention for 27 yrs then he ruled RSA for five yrs only but Museveni was in the forest for Five yrs only but he has ruled Ug for 27 yrs. Alikuwa anafanya comparative analysis. Kimsingi hampendi Mu7!!!!
umepata kunikumbusha kitu flani humu jf, kuna member 1 humu alienda mbali na kudiriki kunena eti "baba wa taifa la Zanzibar ni John Okelo"