Wa south wengi wa sasa hawajui Tanzania ilikuwa nyumbani kwa wazazi wao. Nawakumbuka sana wakunjan pale
iringa, walikuwa wakivaa sana vi dont touch hahaaaa. Kuna jamaa alikuwa akiandika sana mashairi ya ukombozi kwenye gazeti la sunday news akijiita L
flaxman wa qoopane, msouth huyoooo ukisomq mashairi yake lzm uingie msituni ukatokee zimbabwe kuingia sauzi ukawachinje makaburu