Ndugu watanzania ambao tunaoshi maeneo ya washington dc, tunawatangazia watanzania wote kwamba tutafanya mandamano ya kupinga matekeo ya uchaguzi mkuu, 2010, kwasababu ya wizi na udanganyifu uliojitokeza kwenye uchaguzi katika maeneo mbalimbali nchini tanzania.
Tunawaomba watanzania wote waishio marekani mujitokeze kwa wingi katika kupinga matendo hayo ya ubadhilifu nchini kwetu. Kwa wale ambao wanataka kujitokeza wasiliana nasi kwa: #202 367 2761 # 301 655 6577 # 224 628 8279.
Huko hakuna mabomu ya machozi na lile gari la maji ya kuwasha??
Unao ushahidi wa kutosha? Kwa sababu wazungu kuna EU, USA waliokuwepo bongo, unajua walichokisema?
Ndugu watanzania ambao tunaoshi maeneo ya washington dc, tunawatangazia watanzania wote kwamba tutafanya mandamano ya kupinga matekeo ya uchaguzi mkuu, 2010, kwasababu ya wizi na udanganyifu uliojitokeza kwenye uchaguzi katika maeneo mbalimbali nchini tanzania.
Tunawaomba watanzania wote waishio marekani mujitokeze kwa wingi katika kupinga matendo hayo ya ubadhilifu nchini kwetu. Kwa wale ambao wanataka kujitokeza wasiliana nasi kwa: #202 367 2761 # 301 655 6577 # 224 628 8279.
Bila kupiga kelele, hakuna kitakachobadilika.
Wazanzibar ninategemea wengi watakuja na hasa wa PEMBA maana na wao wananyimwa kila baada ya miaka 5 na huwa wanasahau. Wamefanya kosa sana kuwanyanyasa wa bara maana bara walikuwa wapole ila wameamka. Na wakiamka, moto unawaka maana huwa hawakurupuki ovyo ovyo.
Hatua kwa hatua hadi kitaeleweka.
Hivi, hakuna uwezekano wa kuwafungulia Mashtaka watu wa NEC hata kama hatutabadilisha matokeo?
Inabidi hawa watu washtakiwe kwa kubadili matokeo na wachukuliwe kama wezi wa kura.
Ndugu watanzania ambao tunaoshi maeneo ya washington dc, tunawatangazia watanzania wote kwamba tutafanya mandamano ya kupinga matekeo ya uchaguzi mkuu, 2010, kwasababu ya wizi na udanganyifu uliojitokeza kwenye uchaguzi katika maeneo mbalimbali nchini tanzania.
Tunawaomba watanzania wote waishio marekani mujitokeze kwa wingi katika kupinga matendo hayo ya ubadhilifu nchini kwetu. Kwa wale ambao wanataka kujitokeza wasiliana nasi kwa: #202 367 2761 # 301 655 6577 # 224 628 8279.
Kaja kwa ajili ya kututangazia maandamano.Hii kweli kali. Posti ya kwanza tu unatupiga mizinga ya maandamano.
:smile-big::A S angry: YANI MKINIFIKISHA HAPO NATAMANI HATA KUTAPIKA, ILA BASI TU INANIBIDI NIVUMILIE KWA SABABU NI DEMOKRASIA:smile-big: HEBU FIKIRI, HUKUPIGA!, HUKUFANYA KAMPENI YOYOTE, :doh: HUPO TANZANIA, HIVI NANI ALIEKWAMBIA FIMBO YA MBALI INAUWA NYOKA??? KAMA KWELI UNA UCHUNGU WA KWELI HEBU RUDI TANZANIA, JIKUSANYENI PALE JANGWANI AU KIDONGO CHEKUNDU, NA ANDAMANENI:smile-big: MAANA HUO MWALIKO WENU NI KAMA KELELE ZA CHURA NAVOONA:tape: SORRY LAKINI NI MTAZAMO WANGU APONdugu watanzania ambao tunaoshi maeneo ya washington dc, tunawatangazia watanzania wote kwamba tutafanya mandamano ya kupinga matekeo ya uchaguzi mkuu, 2010, kwasababu ya wizi na udanganyifu uliojitokeza kwenye uchaguzi katika maeneo mbalimbali nchini tanzania.