Mandamano ya kupinga uchaguzi mkuu tanzania,kufanyika washington dc usa

gogogoo

New Member
Nov 2, 2010
4
0
Ndugu watanzania ambao tunaoshi maeneo ya washington dc, tunawatangazia watanzania wote kwamba tutafanya mandamano ya kupinga matekeo ya uchaguzi mkuu, 2010, kwasababu ya wizi na udanganyifu uliojitokeza kwenye uchaguzi katika maeneo mbalimbali nchini tanzania.

Tunawaomba watanzania wote waishio marekani mujitokeze kwa wingi katika kupinga matendo hayo ya ubadhilifu nchini kwetu. Kwa wale ambao wanataka kujitokeza wasiliana nasi kwa: #202 367 2761 # 301 655 6577 # 224 628 8279.
 
Unao ushahidi wa kutosha? Kwa sababu wazungu kuna EU, USA waliokuwepo bongo, unajua walichokisema?
 
Huko hakuna mabomu ya machozi na lile gari la maji ya kuwasha??
 
Big up sana,mambo yapo ovyo ovyo hapa katika mchakato mzima wa kuhesabu kura, NEC are CCM allies!!!!
 
Doh Saaaaaafi sana, natamani maandamano kama haya yafanyike ulimwengu mzima.
 
Tanzania pi atunafanya utaratibu kama huo wa kuwa na maandamano nchi nzima kupeleka ujumbe Duniani. Mtajulihswa taratibu zikikamililka
 
Tuone watakaojitokeza kwenye hayo maandamano. Mmesahau wengi wa wanaoishi huko ni watoto wa nani?
 
Unao ushahidi wa kutosha? Kwa sababu wazungu kuna EU, USA waliokuwepo bongo, unajua walichokisema?

Dr. Slaa ametoa barua ya Kabwe. Na tovuti ya NEC imeonyesha matokea ya rais vituo viwili yanafanana vilevile kwa wagombea wote wa urais. Kiravu amekiri kuwa walichakachua. Yeye anasema walikosea kusoma. Lakini kama walikosea kusoma kwa nini wakakosea na kuandika kwenye tovuti? Huo ni ushahidi wa wazi jinzi NEC, CCM na JK wasivyokosa aibu kuchakachua mchana kweupe. Waandamaji tengenezeni mabango makubwa yenye barua ta Kabwe na matokeo yaliyosomwa na kuondikwa na NEC ya GEITA na NYANG'HWALE. Safi sana watu wa USA, Mwende hadi kwa Obama na ubalozi wa Tanzania. Msisahau kuwashirikisha CNN na vyombo vingine vya habari, Aibu CCM, NEC, JK. LOOO!
 
Bila kupiga kelele, hakuna kitakachobadilika.

Wazanzibar ninategemea wengi watakuja na hasa wa PEMBA maana na wao wananyimwa kila baada ya miaka 5 na huwa wanasahau. Wamefanya kosa sana kuwanyanyasa wa bara maana bara walikuwa wapole ila wameamka. Na wakiamka, moto unawaka maana huwa hawakurupuki ovyo ovyo.

Hatua kwa hatua hadi kitaeleweka.

Hivi, hakuna uwezekano wa kuwafungulia Mashtaka watu wa NEC hata kama hatutabadilisha matokeo?

Inabidi hawa watu washtakiwe kwa kubadili matokeo na wachukuliwe kama wezi wa kura.
 
Ndugu watanzania ambao tunaoshi maeneo ya washington dc, tunawatangazia watanzania wote kwamba tutafanya mandamano ya kupinga matekeo ya uchaguzi mkuu, 2010, kwasababu ya wizi na udanganyifu uliojitokeza kwenye uchaguzi katika maeneo mbalimbali nchini tanzania.

Tunawaomba watanzania wote waishio marekani mujitokeze kwa wingi katika kupinga matendo hayo ya ubadhilifu nchini kwetu. Kwa wale ambao wanataka kujitokeza wasiliana nasi kwa: #202 367 2761 # 301 655 6577 # 224 628 8279.

This is good. Watz wote wenye akili timamu na wanaopenda Tanzania inapaswa waitikie wito Huu.
 
Bila kupiga kelele, hakuna kitakachobadilika.

Wazanzibar ninategemea wengi watakuja na hasa wa PEMBA maana na wao wananyimwa kila baada ya miaka 5 na huwa wanasahau. Wamefanya kosa sana kuwanyanyasa wa bara maana bara walikuwa wapole ila wameamka. Na wakiamka, moto unawaka maana huwa hawakurupuki ovyo ovyo.

Hatua kwa hatua hadi kitaeleweka.

Hivi, hakuna uwezekano wa kuwafungulia Mashtaka watu wa NEC hata kama hatutabadilisha matokeo?

Inabidi hawa watu washtakiwe kwa kubadili matokeo na wachukuliwe kama wezi wa kura.

Wanatakiwa washtakiwe kama WAHAINI maana wamepindua serikali iliyochaguliwa na watanzania na kumweka JK kinyume na matakwa ya watanzania.
 
gogogoo
Junior Member

Join Date
Tue Nov 2010
Posts
1
Thanks
0
Thanked 2 Times in 1 PostRep Power
0
 
Ndugu watanzania ambao tunaoshi maeneo ya washington dc, tunawatangazia watanzania wote kwamba tutafanya mandamano ya kupinga matekeo ya uchaguzi mkuu, 2010, kwasababu ya wizi na udanganyifu uliojitokeza kwenye uchaguzi katika maeneo mbalimbali nchini tanzania.

Tunawaomba watanzania wote waishio marekani mujitokeze kwa wingi katika kupinga matendo hayo ya ubadhilifu nchini kwetu. Kwa wale ambao wanataka kujitokeza wasiliana nasi kwa: #202 367 2761 # 301 655 6577 # 224 628 8279.

Hii kweli kali. Posti ya kwanza tu unatupiga mizinga ya maandamano.
 
Natafuta hata usafiri wa ungo nije niwasapoti, otherwise i will be praying for you brethren, sasa mwaandama kwa kidhungu au kibongobongo????
 
mawasiliano na sebodo (mhindi anaewapaga hongo chadema) yanafanyika ili aweze kuchangia milioni 1 kulipia gharama za hayo maandamano!!!!
NADHANI NI MWANZO MZURI!!!
 
Zubeda, hata kama mmeshinda, kumbuka "still i LOVE you". :A S-rose:
 
Ndugu watanzania ambao tunaoshi maeneo ya washington dc, tunawatangazia watanzania wote kwamba tutafanya mandamano ya kupinga matekeo ya uchaguzi mkuu, 2010, kwasababu ya wizi na udanganyifu uliojitokeza kwenye uchaguzi katika maeneo mbalimbali nchini tanzania.

Tunawaomba watanzania wote waishio marekani mujitokeze kwa wingi katika kupinga matendo hayo ya ubadhilifu nchini kwetu. Kwa wale ambao wanataka kujitokeza wasiliana nasi kwa: #202 367 2761 # 301 655 6577 # 224 628 8279.
:smile-big::A S angry: YANI MKINIFIKISHA HAPO NATAMANI HATA KUTAPIKA, ILA BASI TU INANIBIDI NIVUMILIE KWA SABABU NI DEMOKRASIA:smile-big: HEBU FIKIRI, HUKUPIGA!, HUKUFANYA KAMPENI YOYOTE, :doh: HUPO TANZANIA, HIVI NANI ALIEKWAMBIA FIMBO YA MBALI INAUWA NYOKA??? KAMA KWELI UNA UCHUNGU WA KWELI HEBU RUDI TANZANIA, JIKUSANYENI PALE JANGWANI AU KIDONGO CHEKUNDU, NA ANDAMANENI:smile-big: MAANA HUO MWALIKO WENU NI KAMA KELELE ZA CHURA NAVOONA:tape: SORRY LAKINI NI MTAZAMO WANGU APO
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom