Rev. Kishoka
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 4,526
- 1,552
Kuna member mwingine pia alimuulizia kule kwenye malalamiko....jamaa alikua analeta ladha flani hapa.Jamani ICADON yupo wapi?
ukiwa unaangalia game ya manu na wamefungwa huwezi kuondoka maana yake hujui watarudisha saa ngapi, lakini ukiwa unaangalia chelsea, liverpool or assho.. wakifungwa na ni dakika ya 80 unaweza kuondoka maana yake hawawezi kurudisha
Clean sheet nzuri sana hii, kazi nzuri. Vijana wa Banitez wanahali mbaya sana, wamebanwa bila kupumua leo. Nadhani hata nafasi ya 4 wanayoitafuta wanapaswa kuwa optimistic, they should miss it.
duh....hongera sana ManU.......huu Uzi wa ManU kusema ukweli ni mzuri......
Haya mambo yanawezekana ManU tu pekee, beki za jana
Namba
2.Fletcher
3.Giggs
4.Evra
5.Carick
Mambo yakiwa magumu hata Owen tunaweza tukamchezesha beki 2
Carrick as a centre half, i smell defeat labda leo kale katoto katapewa namba