Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,209
naona babu kanyanyuka analalamika mda wa nyongeza hautoshi ha ha ha
naona babu kanyanyuka analalamika mda wa nyongeza hautoshi ha ha ha
Tehe teh Ligi ya mwaka huu kweli kiboko..A
kuna jamaa alikuwa katabiri chelsea draw na man united anafungwa toka jana.nikamwambia nenda ka-bet kakataa kasema mara nyingi akiweka hela yake matokeo yanaenda tofauti kwahio hapa naona anajilaumu sana.Tehe teh Ligi ya mwaka huu kweli kiboko..A
mkuu sasa inabidi tutayarishe mijeredi kwa ajili ya kesho kama watoto wasipopata ushindi anfield tunapiga bakora mpaka babu hyao wenger.Kazoea vya kunyongwa huyo...
kuna jamaa alikuwa katabiri chelsea draw na man united anafungwa toka jana.nikamwambia nenda ka-bet kakataa kasema mara nyingi akiweka hela yake matokeo yanaenda tofauti kwahio hapa naona anajilaumu sana.
Ndo unalikumbuka hili sasa hivi?
naona leo wale mafarasi wawili wamepunguza kwasi safi sana na itakuwa vizuri zaidi vijana wangu watakapo shinda kesho.poleni sana wakuu wa jukwaa hili karibu kesho mtizame burudani.
Hapana,nalijua kitambo,ila nashangaa jinsi mabingwa wanavyochezea kichapo maana wao kila siku wanatuponda Arsenal kwa kufungwa lakini so far(kama sikosei) Man Utd kafungwa mechi 4,Arsenal mechi 4 na Chelsea mechi 3...Sasa sijui walikuwa wanatucheka nini hasa,ama ndo yale mambo ya Usitukane mamba kabla hujavuka mto???

Na we subiri kesho yule mgonjwa ataponea kwako hadi utabaki mdomo wazi.Kesho pamoja sana mkuu.
Na watakomaa kweli hiyo kesho,wao wakikutana na Man Utd,Chelsea au Arsenal wanakomaa kama nini,ila wakikutana na vi kina LIPULI wanalegeaaaa
Naona hadi majigambo ya hawa jamaa leo kwisheni huwa wanasema ooh si dk za 90 ndo zetu leo wapi wakuu.
Banta subiri kesho wazee wabwawa na ninyi.