Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,028
- 59,657
Rooney mkali
FULL-TIME Portsmouth 1-4 Man Utd
Hongereni wazee wa hapa naona leo wkend safii! Kwa mtindo huu inabidi kesho tuongeze gape maana mpo karibu sana..
Asante mkuu, kuhusu kesho mimi yangu macho; kwani mnawaoneje Arsenal? linganisha na Wigan. Kila la kheri.
Yeah, from spot kicks! lolPortsmouth 1 : 3 Man U 54mins go rooney you may get 5 today.
Baada ya miaka mingapiThat was 100th Premier League goal for Ryan giggs. Man United 4.
Tunategemea mshangilie The Blues kesho!Asante mkuu, kuhusu kesho mimi yangu macho; kwani mnawaoneje Arsenal? linganisha na Wigan. Kila la kheri.
Naomba wale wenzangu wa kutoka Old Trafford tuendelee kushangilia ushindi wa leo. Tuendelee kuzibua vizibo.
Tumeona mchezo wa vijana wapya, Pique na Simpson.
Kanyaga twende.
ha ha ha, 5 points game kwenye primiership umesahau Mkuu.. This is Man U without Ronaldo
You have long way to go, by the way yesterday wasnt a Big Match anyway so why so excited?
ha ha ha, 5 points game kwenye primiership umesahau Mkuu.. This is Man U without Ronaldo
You have long way to go, by the way yesterday wasnt a Big Match anyway so why so excited?
Mkuu uwe unasoma na tarehe ambayo hiyo post imekuwa posted (Nov 2007).