Kama iyo ndo everything basi timu nzima ni sawa na ihefuErik ten Hag: “The players gave everything. The performance was very good. It was very small margins.” #MUFC [Sky
Polee sana kaka 😂Kaka tuache😅😅
Mwalimu hana options kwenye benchi tutamtukana bure tu.Lindelof si defender wa kiwango cha kupigania top 4 achilia mbali ubingwa.Nikimwona katika start 11 nakuwa na wasiwasi, one against one ni majanga sijui amewezaje kuwemo kipindi kirefu ?.
Watu hili hawalioni kabisaMwalimu hana options kwenye benchi tutamtukana bure tu.
Fergusson wakati anazitesa Man City alikuwa na Rooney, Barbatov, Tevez, Ronaldo, Ferdinand, Vidic, Carrick, Anderson, Oshea, Neville, Fabio,Rafael, Jisung, Scholes, Giggs.
Hicho ndicho alichonacho Man City kwa sasa. Jana line up ilikuwa na wachezaji watano ambao huwa wanaanzia benchi na kwenye sub kulikuwa na watoto wa academy tu.
Hata klop na Pep hii squad asingeweza kupambana na squad kama Man City au Liverpool. Imagine Man City akiumia Rodri tu au De Bruyne wanaanza kupigwa na kila timu.
Kipara pamoja na mapungufu yake hana kikosi cha kupambana na Liverpool wala Man City tutamtukana bure.
Sub zile ndiyo wachezaji alionao kwenye benchi huyu bwana tutamuonea bure tu.Hukuona zile sub za kijinga kabisa.
Pamoja na mapungufu yake Mwalimu lakini pia hana kikosi cha kupambana na timu zote zilizopo top 10.Watu hili hawalioni kabisa
Honestly united hawana wachezaji wa kuwashindia kwa sasa. Msimu ujao kuna haja ya kufanya revolution. Kuuza 50% ya wchezaji woteSub zile ndiyo wachezaji alionao kwenye benchi huyu bwana tutamuonea bure tu.
Anazidiwa squad depth hadi na Luton
United hawana wachezaji wa kushindana kwa sasa.Honestly united hawana wachezaji wa kuwashindia kwa sasa. Msimu ujao kuna haja ya kufanya revolution. Kuuza 50% ya wchezaji wote
Football ya leo imekuwa ni ya aibu tangia nizaliwe miaka 40s ago Flano hii ndio team yako ya kupiga kelele kwenye Jukwaa la Arsenal?
And he was right. United lazima ikubali kubadilisha policy na kuacha na wachezaji sugu or else wataendelea kutesekaUnited hawana wachezaji wa kushindana kwa sasa.
Msimu uliopita Klopp alisema wachezaji wengi wa United ni wazee haoni kama United wanafanya rebuild.
7Hag ni takataka
Nilishasema 7HAG uwezo wake ni mdogo ,kuna watu wakanitusi ,
Erik 7 hag mwenyewe anasema performance Jana ni nzuri na inavutia
Kifupi jamaa alishaipata manjesta anayoitaka ,yaani ndio anataka incheze hivo sababu uwezo wake umeishia hapo
Anasema...
Tumecheza vizuri sana”
“Tulikuwa karibu kupata ushindi au sare hapa”
Erik 7 hag a Dutch David Moyes
Gap la point 11 kuingia top 4. Kazi ipoKula chuma hicho!
View attachment 2923780
Wakati anakuja na sajili zake za kina Antony, Malacia na Mount hakuona kuwa hawaendani nae? Tukiangalia hili angalia na sh ngap alipewa ya kusajili pia.Mwalimu hana options kwenye benchi tutamtukana bure tu.