Potelea mbali bora tu City aendelee kubeba kombe hata kama Epl itaonekana ni farmers league, ikishindikana kabisa ni bora Liverpool achukue lakini sio Arsenyau.
Arsenyani akibahatisha kuchukua Epl tutasimangwa humu mpaka tukufe.
Raha kubwa ya Epl ni kuona mashabiki wa Arsenyeto humu jinsi wavyopeana false hopes halafu ikifika mwisho wa msimu wanaanza kutukanana yenyewe kwa wenyewe
Let's go wapi🤠🤠...leo Kila nikichungulia naona kosakosa kuna mtu anakula 4....Sasa huu muda ulobaki naangalia hzo nne anakula mwny jezi nyekundu au mwenye blue bahari
Ukienda England mahasimu wakubwa wa Manunu ni City na Liverkuku...hzi chuki kwa Arsenal ni sisi huku kwetu ngozi nyeusi...kwhyo Bora Arsenal kuliko hao wawili wakibeba🤠🤠
Let's go wapi🤠🤠...leo Kila nikichungulia naona kosakosa kuna mtu anakula 4....Sasa huu muda ulobaki naangalia hzo nne anakula mwny jezi nyekundu au mwenye blue bahari