Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Onana anaangalia Tu kama la pili Man U kwisha habari yake.
 
sawa wachezaji wetu wengi ni wepesi lakini hili haliondoi ukweli wa kushindwa kwa kipara.

Kuna watu waliamini wachezaji wetu wakirudi from majeruhi tutakuwa vizuri.

Tujiulize liverpool wana majeruhi wangapi, je uchezaji wao umebadilika?
 
Siku ambayo kipara alizidiwa kimpira na madevu wa nottingham forest ndio nilizidi kukata tamaa naye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…