Manchester United (Red Devils) | Special Thread

sawa wachezaji wetu wengi ni wepesi lakini hili haliondoi ukweli wa kushindwa kwa kipara.

Kuna watu waliamini wachezaji wetu wakirudi from majeruhi tutakuwa vizuri.

Tujiulize liverpool wana majeruhi wangapi, je uchezaji wao umebadilika?
 
Siku ambayo kipara alizidiwa kimpira na madevu wa nottingham forest ndio nilizidi kukata tamaa naye.
 
Majeruhi ya luke shaw, Martinez, hojlund, ya tatuumiza sana ni wachezaji wa muhimu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…