ama kweli kila mmoja na maisha yake. Mwishowe sisi tunamaliza kwa huzuni, nyie mnamaliza kwa furaha halafu sisi ndiyo tunawaona nyie vichaa, kumbe kichini chini nyie mnatucheka sisi
Hivi ni timu gani kwenye top 6 ilienda pale Kenilworth Road ikatoka na points kizembe?Mlikua mnaomba mpira uishe 😂🙌. Mshukuru zawadi aliyowapa yule beki wa Luton, la sivyo tungekua tunaongea mengine.
Mkibisha natuma possession 😁
United ndo chama langu ila kurudi mpaka Glazers na wachezaji matapeli waondoke. Timu ina wachezaji wanacheza kwa mood pamoja na kulipwa mishahara minono, hakuna fighting spirit kabisa. Mashabiki wanaona kabisa kikosi kina potential ya kufanya vizuri hata kama siyo kushinda EPL ila wana uwezo wa kushinda mechi bila mashaka maana kila mechi dk 20 za mwanzo wanacheza vizuri.Mkuu bado uko na hawa ndugu zetu au umeshahamia Brighton and Hove '5G' Albion mazima?
Hakuna agenda yoyote, ni ukweli kuwa mpira wa ETH ni wa kitapeli kupindukia. Sio kwa Luton tu, yaani team haieleweki inacheza style gani, sub zake simple kuzijua, yaani inshort ni bahati tu zipo upande wetu.Hivi ni timu gani kwenye top 6 ilienda pale Kenilworth Road ikatoka na points kizembe?
Ukitoa Spurs wengine wote walipata ushindi wa kubahatisha: Kuku FC wakalazimishwa droo tena kwa ku-force sana. City hawakuamini walichokutana nacho. Arsenal ndiyo walichezewa kabisa maana ilikuwa wanafunga wanachomolewa dk za mwishoni ndiyo ikawa pona yao. Chelsea walikuwa wanalazimishwa droo ila muda ukawa upande wao.
Sasa United wameshinda 1-2 mmeanza maneno au ndiyo agenda dhidi ya United zinaendelea. Spurs pekee ndiyo niliona timu iliyoipa tabu Luton wakiwa nyumbani na wakapewa red card ila wakaondoka na points 3 + clean sheet.
Kuna Mfumo Mzuri Wa Uongozi sasa hvi, Makosa ya kipuuzi kama hayo na Mengineyo ikiwemo Kuchelewa kusajili na kupelekea ( panick buying) hatuyategemei, first choice ya kocha ndo inategemewa kuwasili kila position na kila usjiliView attachment 2910511
- hakukuwa na ulazima wa kumsajili onana kwa 45 million, yalikuwepo machaguo mengine nafuu.
- 80 millioni kwa ajili ya anthony ni makosa
- mason mount kwa 55 million, tulisema sana humu ndani, sijui kama kafikisha japo mechi 10 kwa msimu huu.
- casemiro kwa 60 million, kosa jengine la kiufundi
Ni mtazamo wangu.
Tuta offload dead woods mkuu ili kuendana na FFP.View attachment 2910511
- hakukuwa na ulazima wa kumsajili onana kwa 45 million, yalikuwepo machaguo mengine nafuu.
- 80 millioni kwa ajili ya anthony ni makosa
- mason mount kwa 55 million, tulisema sana humu ndani, sijui kama kafikisha japo mechi 10 kwa msimu huu.
- casemiro kwa 60 million, kosa jengine la kiufundi
Ni mtazamo wangu.
Hana utamaduni huo tokea akiwa AJAXHivi kwanini EtH hafanyi squad rotation mechi hadi mechi?
Huyu Bruno si atafia uwanjani siku moja jamani!
Kama ni hivyo basi hana mbinu zakutosha ila anatembelea nyota ya wachezaji.Hana utamaduni huo tokea akiwa AJAX
Ndugu fuentte Matatizo ni mengiKama ni hivyo basi hana mbinu zakutosha ila anatembelea nyota ya wachezaji.
Nakumbuka babu Fergie karibu kila mechi ilikuwa na matakwa yake na wachezaji wake.
Mechi ya Brentford huwezi kuicheza kama unavyocheza na Burnley au Villa kimbinu.
Mkuu Bagabeach mie naanza kukosa imani na huyu mshikaji wetu sasa.
Kama timu inacheza hovyo namna ile lakini tupo top six mwalimu akirekebisha hata 10% ya makosa ya mapungufu ya timu si tunatwaa ubingwa.??United ndo chama langu ila kurudi mpaka Glazers na wachezaji matapeli waondoke. Timu ina wachezaji wanacheza kwa mood pamoja na kulipwa mishahara minono, hakuna fighting spirit kabisa. Mashabiki wanaona kabisa kikosi kina potential ya kufanya vizuri hata kama siyo kushinda EPL ila wana uwezo wa kushinda mechi bila mashaka maana kila mechi dk 20 za mwanzo wanacheza vizuri.
Kocha naye haonyeshi kurekebisha makosa yake na ya wachezaji wake kila siku wanarudia makosa yaleyale. Mawinga wabinafsi, defense mbovu, wachezaji wapo out of form ila analazimisha wacheze haohao, timu haina muunganiko kila mchezaji anacheza jinsi anavyojua yeye ni kama hakuna mfumo au maelekezo ya kocha. 🚮
SEAGULLS!!!
Hana option kwenye benchi umtoe Garnacho uweke Antony ? Hojlund uweke Martial au Mainoo uweke Amrabat?Hivi kwanini EtH hafanyi squad rotation mechi hadi mechi?
Huyu Bruno si atafia uwanjani siku moja jamani!
Akipatikana CB & CDM itakuwa mwanzo wa kutatua matatizo ya muda mrefu ya United.Kama timu inacheza hovyo namna ile lakini tupo top six mwalimu akirekebisha hata 10% ya makosa ya mapungufu ya timu si tunatwaa ubingwa.??
Trust the process