We jamaa unapenda sana kusema ukweli
Manyumbu mpaka sasa wanashangaza watu. Mko nafasi ya 6, point 6 tu nyuma ya Tottenham wa nafasi ya 4. Ila mmepitwa goal difference na top 10 nzima kasoro West Ham. Mnapanda mdogo mdogo tu kimasihara.Masingeli ndio muda wake huu wa kutamba, siku atayopigika ndio siku anayozima simu na kuchomoa line kabisa.
Kuna namna, hata sisi hatuelewi😅😅😆Manyumbu mpaka sasa wanashangaza watu. Mko nafasi ya 6, point 6 tu nyuma ya Tottenham wa nafasi ya 4. Ila mmepitwa goal difference na top 10 nzima kasoro West Ham. Mnapanda mdogo mdogo tu kimasihara.
Last season kimasihara hivi hivi mlifika nafasi ya 3. This season mnapaswa msivuke ya 9 ila cha ajabu mtajikuta mmeingia top 4.
Waswahili wayasema mna nyota 🤣🤣Kuna namna, hata sisi hatuelewi😅😅😆
Manyumbu mpaka sasa wanashangaza watu. Mko nafasi ya 6, point 6 tu nyuma ya Tottenham wa nafasi ya 4. Ila mmepitwa goal difference na top 10 nzima kasoro West Ham. Mnapanda mdogo mdogo tu kimasihara.
Last season kimasihara hivi hivi mlifika nafasi ya 3. This season mnapaswa msivuke ya 9 ila cha ajabu mtajikuta mmeingia top 4.
Mkizubaa tunaiba kombeManyumbu mpaka sasa wanashangaza watu. Mko nafasi ya 6, point 6 tu nyuma ya Tottenham wa nafasi ya 4. Ila mmepitwa goal difference na top 10 nzima kasoro West Ham. Mnapanda mdogo mdogo tu kimasihara.
Last season kimasihara hivi hivi mlifika nafasi ya 3. This season mnapaswa msivuke ya 9 ila cha ajabu mtajikuta mmeingia top 4.
Kwa ukubwa wa United kwa sasa ni kama hakuna kocha anayeweza kubeba huu mzigo wa kuifundisha hii timu.CEO na DOF kazi kwenu
View attachment 2901129
Ile ni Old Trafford mzee form yenu labda kwa wengine sio sisi.Huwez kupata hata on target Kwa Arsenal View attachment 2902303
Timu kubwa zinacheza na GD ya +30. Wakianguka sana +25. Mid table teams zinacheza na GD +5 mpaka -5. Wewe na 0 yako unasubiri next game ushuke mpaka -2.hii ndio tofauti ya timu kubwa kama Man Utd na vile mid table team kama Arsenyau.
Man Utd hata kama tuna timu mbovu lakini hua tunajitahidi kufocus kwenye malengo ya big team(ulazima wa uwepo kwenye top 4) hapa kikubwa hua tunapambana kutafuta points tu zitakazotuwezesha kuwepo kule.
Mid table teams wao huhangaika zaidi na statistics za Clean sheet, Goal Difference(GD), Pressing na Overloading bila ya kusahau positional interchange pamoja na Aerial duel
Ndani ya miaka 20 iliyopita hizo GD 25+ zimewasaidia Arsenyau kupata kombe gani la maana?Timu kubwa zinacheza na GD ya +30. Wakianguka sana +25. Mid table teams zinacheza na GD +5 mpaka -5. Wewe na 0 yako unasubiri next game ushuke mpaka -2.
Wewe subiri uje ulingane points na wachini yako. Ujikute unamaliza nafasi ya 11 huko, ukose champions league kisa GD.Ndani ya miaka 20 iliyopita hizo GD 25+ zimewasaidia Arsenyau kupata kombe gani la maana?
Wewe subiri uje ulingane points na wachini yako. Ujikute unamaliza nafasi ya 11 huko, ukose champions league kisa GD.
mbona kwenu unaandika clean sheet vizuri kabisa ila kwetu kiingereza unasahau ghafla unaandika clean shit?Hata tukishuka daraja kwa sababu ya GD hamna shida, hata mwaka juzi kina Masingeli na Co-wokers wake walikua wanatusimanga kwelikweli kuhusu clean sheet ila mwisho wa msimu wote Arsenyau mwenye clean shit nyingi na sisi tusio na clean sheet tukaenda Europa.
Nimekuuliza haujanijibu nakuuliza tena
Ndani ya miaka 20 iliyopita hizo GD 25+ zimewasaidia Arsenyau kupata kombe gani la maana?
Msimu ulioisha gari yenu ilienda mbio zaidi ya siku 258, zimebaki mechi 8 ligi kuisha mlikua mnaongoza kwa points8 mbele dhidi ya Man City aliekua nafasi ya pili.mbona kwenu unaandika clean sheet vizuri kabisa ila kwetu kiingereza unasahau ghafla unaandika clean shit?
makombe kwetu yanakuja tu muda si mrefu.
kwakuwa wewe unapenda sana taarabu...
Kijembe kongoka mpini nikutie kibanio,
nimepata dereva ajuae gari yangu yenda mbio!
Huo msamiati hata siuelewi maana yake ila kimpira mpira tuseme tu Arsenal imepata dereva ajuae Arteta na sasa gari letu laenda mbiooooo, full kuwatimulia vumbi timu za mchangani kama mamyumbu.