Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Timu bado inajitafuta ,,,,,,

Tuendelee kuokoteza point walau tuone itakuwaje mwishoni kama tutaingia top4 !

Ni mapema sana lakini waliomdhihaki Hojland wataanza kuficha sura zao !!!!

Napenda upambanaji wake,,,, really promising talent !!!!
 
ETH anatamba anasema kwasasa anampiga yeyote


Amecheza na villa lakin anadai alistahili kuifunga Arsenal na Liverpool


Huyu kocha manjesta fans wanadai simpendagi ,kaangalieni stats za hizo mechi

Hata hiyo ya villa kabahatika ,siokwamba aliukamata mchezo ,lakini cheki anavyotamba

Utofauti wa Flano na ETH ni upi
 
Nyie pigeni mdomo tu ila mna point zetu pale OT.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…