Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuu bandiko langu nililo ku reply hujaliona ama umeamua kupita hivi
 
Mkuu bandiko langu nililo ku reply hujaliona ama umeamua kupita hivi
umekuja kusherehekea sherehe za mapinduzi?
nakutafutia namba ya rafiki yake Mwinyi, nikiipata nitakurudia.
sisi wengine ni panya mpunga ndio maana tunafanya kazi ya kupara miwa.
elewa neno miwa.
je wewe unaweza kuparamiwa?
 
Ngoja nije chemba, maana hapa unadhani ni UNYUMBU nakwambia wakati niko serious. Inawezekana tu, inshu no kupata mtu sahihi tu kwenye haya maisha.
umekuja kusherehekea sherehe za mapinduzi?
nakutafutia namba ya rafiki yake Mwinyi, nikiipata nitakurudia.
sisi wengine ni panya mpunga ndio maana tunafanya kazi ya kupara miwa.
elewa neno miwa.
je wewe unaweza kuparamiwa?
 
Chemba nimekuja kumegoma kuingilika aisee, ni umepiga lock.
umekuja kusherehekea sherehe za mapinduzi?
nakutafutia namba ya rafiki yake Mwinyi, nikiipata nitakurudia.
sisi wengine ni panya mpunga ndio maana tunafanya kazi ya kupara miwa.
elewa neno miwa.
je wewe unaweza kuparamiwa?
 
Sio ratiba zako dogo. Ni kawaida yako mkipigwa chuma huwa unapotea siku kadhaa hii sio msimu huu tangia uwanze kupiga kelele humu jukwaani.

Ndiomana mimu husema wewe ni mshabiki wa Arsenal huna uchambuzi wowote ule.
Huyo paka huwa wakifungwa anapotea humu ila wakishinda anakuja kutapika ujinga wake humu
 
Ni siku ya raha tupu wakubwa tunaleta tena kosi la bwenyenye jipya Sir Jim ndani ya nyumba watalia sana wale.

Manchester United inacheza leo na dunia nzima ina furaha

My prediction

Manchester United 2 vs Tottenham 1

Bwenyenye kasema vilio sasa basi

GGMU
 
14 losses in 28 games, we kept quiet. Out of the Champions League, we kept quiet. Out of the Carabao Cup, we kept quiet 🀫 8th in the league,we kept quiet . But being behind Chelsea on the table is what we cannot take, we’re finished πŸ˜ƒπŸ˜ƒ A message from Manchester United fans πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…