D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,646
- 121,057
umekuja kusherehekea sherehe za mapinduzi?Mkuu bandiko langu nililo ku reply hujaliona ama umeamua kupita hivi
umekuja kusherehekea sherehe za mapinduzi?
nakutafutia namba ya rafiki yake Mwinyi, nikiipata nitakurudia.
sisi wengine ni panya mpunga ndio maana tunafanya kazi ya kupara miwa.
elewa neno miwa.
je wewe unaweza kuparamiwa?

Huyo paka huwa wakifungwa anapotea humu ila wakishinda anakuja kutapika ujinga wake humuSio ratiba zako dogo. Ni kawaida yako mkipigwa chuma huwa unapotea siku kadhaa hii sio msimu huu tangia uwanze kupiga kelele humu jukwaani.
Ndiomana mimu husema wewe ni mshabiki wa Arsenal huna uchambuzi wowote ule.
Evans na Rashford hawawezi kudeliver zaid ya hapo, Waondoke tuUzembe sana.