Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ile verse yake

" Forward butu za michongo na striker hawana mipango " alikua ana maanisha ile combination ya Rashford + Antony + Martial + Hojlund na Sanchoka

Roma is pure genius
 
mchezaji anapohitajika na Pep muangalie jicho la pili , Pep alimuhitaji huyu dogo aligoma akaenda kwa Doku
 
Sio ratiba zako dogo. Ni kawaida yako mkipigwa chuma huwa unapotea siku kadhaa hii sio msimu huu tangia uwanze kupiga kelele humu jukwaani.

Ndiomana mimu husema wewe ni mshabiki wa Arsenal huna uchambuzi wowote ule.
Nakazia.
 
Nimekumbuka mbal sana mbali mno kitambo kile hakuna sheria

uwanjani unafanya unachokitaka hata ukiamua kulala Sawa tu
 
Sio ratiba zako dogo. Ni kawaida yako mkipigwa chuma huwa unapotea siku kadhaa hii sio msimu huu tangia uwanze kupiga kelele humu jukwaani.

Ndiomana mimu husema wewe ni mshabiki wa Arsenal huna uchambuzi wowote ule.
Unaniita dogo ,saa ajabu mm baba Yako mdogo ,kuwa na adabu kijana ,

Huenda ndiye niliyekutuma sigara na pipi ,huku Jf unaniita dogo
 
Unaniita dogo ,saa ajabu mm baba Yako mdogo ,kuwa na adabu kijana ,

Huenda ndiye niliyekutuma sigara na pipi ,huku Jf unaniita dogo
Nyie watoto wamajuzi mnajulikana na malegend tunajielewa humu. usiseme ni Id hata ukibadiri tutakufahamu bwana mdogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…