Twende taratibu sheikh, timu mbovu zipo kuanzia nafasi ya Chelsea kushuka chini, sisi wengine ubingwa bado uko bwelelee/bong'ooUna imani ya kuamisha mlima kabisaaa[emoji14][emoji14][emoji14] sio kwa ujasiri huu. Mna team mbovu sana mnaitaji muda kuwa bora ila sio ndani ya msimu huu
acha mihadaratiSijui unaangalia ligi ya msimu huu au upo na marudio ya msimu 2021-2022.
Ninachokiona, timu zote kuanzia timu inayo ongoza zina matokeo ya kusua sua, wakipata injury moja au mbili ndio kabisaa, meanwhile man u imekua na injury karibu first team yote ila bado iko pale, muda wowote tukiwa na at least robo tatu ya squad iliyo fit, sioni timu inayosimama mbele yetu, sio man shit, gayguners, rottenham wala liverfool au hivyo vi boobston.
Top four is the least i can think of, hata ubingwa bado ni mweupe.
Ww una sub gani Sasa ya kukupa matokeo🤠🤠🤠...jana si ameingia mzee mzima Mc Tominay kubadilisha mambo...nn kimetokea....endelea kukaza kichwa....kuna timu ukikutana nazo tena ndogo tu mtakuja kutukana tena hmu...Luton Town, masela zake Wolves...hzo zte mnakandwa....bdo timu kubwa hazijaja kiwapasua...mna hali mbaya...kuwacheka tumechokaWewe na kikosi chako imara kila ikifika mechi ya kuchukua point 3 za muhimu unapoteza, labda uimara wako ndio udhaifu wako.
Imagine sub za kukupa matokeo timu inapo zidiwa ni nelson, nketiah, smith rowe🤣 kama kuna timu ina avarage players basi ni gaygunersView attachment 2858359
Fala tu huyo katuachia timu mbovu mno tofauti na wengerLeo Sir Alex Ferguson ametimiza miaka 82
Timu yako iko nafasi ya ngapi?Hili timu linafurahisha sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha wazeee wa kamubaki haha tripu moja shamba inayofuata Herero🤣🤣🤣🤣Timu yako iko nafasi ya ngapi?
Jinsia yako pleaseHahahaha wazeee wa kamubaki haha tripu moja shamba inayofuata Herero🤣🤣🤣🤣
Mchizi boti amia aseno 😀😀😀