Eriksen anaona timu inashambuliwa gibbs white yuko mwenyewe anakimbia kama yeye ndo anashambulia
ah kudadeki wazee hii timu abaki sijui amad dialo na kobe mauno
Yani timu ovyo ovyo hamna kitu
No chances
Winga wachoyo wengine ni waoga wa mpira
Yani kwa mara ya kwanza naona hamna timu hapa officially naacha kufatilia hawa kenge