Humu ndani haya makalio yanacheza kama yapo umiseta
Bruno anamuona amad pembeni anajipigia kama kuku
Huyu mctominay anapiga pembeni na nyuma
Garnacho kila mpira anahisi ni anatakiwa afunge
Mpira wapumbavu wanauogopa kama ni wamoto hivi
Wazee hii timu atoke huyu jamaa kocha hamna kitu naona upumbavu tu