Issue ilikuwa management embu tuone Sir Jim atafikia wap na yeyeKaka ETH ananiangusha mpaka nakosa nguvu za kuweka habari za chama kubwa maana Hashtag ninayomwekeaga #ππ§πͺπ¨π©πππππ§π€πππ¨π¨ππππ³π±βοΈ haiendani na anachokionyesha uwanjani ila mimi nipo sana tu.
Asee tutaambiwa tunajaza waholanzi..
The Dutch government Jasusi
Labda muingie chakaHii top four tunaingia
Mungu tunakuomba
Wale virusi glazers bado wataendelea kubunya tuHatujui sir Jim atakujajeView attachment 2854950