Wavunje timu yte...wajitoe ligi kuu....wasajili upya watu🤠🤠🤠....Sasa kama raundi ya 1 ndo wamebutuliwa hivi raundi ya 2 kipindi watu wanaitaka nafasi zao...wengine ubingwa...wengine UEFA...wengine wasishuke daraja si ndo watafedheheshwa kabisa Hawa....wajitoe...kuanza upya sio ujinga mjomba...alisema Mpoto