Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Unai alikua anatupoteza yule, hana first eleven inayoeleweka
Mpira hauna identify yoyote
Tulikua tuna struggle na timu Kama Watford

7hag na unai tofauti yao mmoja kanyoa para mwingine kafuga nywele
 
Daah asee baada ya mechi hii kama tutafungwa

Kipara asipo ondoka jamaa atakuwa anauchawi duuh
Timu inacheza kama kitayose daaah

Pumbavu
 
Muhimu zisifike tano
Ni mjinga pekee ambae anaamini Man U ni ingeshinda mbele ya Villa ya Unai
 
Foward zinacheza utumboooo tuuu.. Huyu Ganarcho anakatwaa na wachawiiiii
Mamaeee admin futa uziiii...
 
Daah asee baada ya mechi hii kama tutafungwa

Kipara asipo ondoka jamaa atakuwa anauchawi duuh
Timu inacheza kama kitayose daaah

Pumbavu
Nikuhakikishie Upara anamaliza msimu bila kufukuzwa na mtu yoyote LABDA ajiuzulu AU Sir Jim amkatae

Timu za EPL ngumu sana kufanya maamuzi ya kufukuza kocha Sio NBC PL ile hata vila wakishinda 7-0 ETH hafukuzwi na mtuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…