Aisee kwa maisha nayoishi humu siwezi kuwa Banned ndugu yangu, ni matatizo tu ya forum maana sio Mimi tu ambae nipitia hii kasheshe
Kuna wengine Hadi wameamua kuachana kabisa na jamii forum na wame uninstall app, maana ni Ujinga kulazimisha likitu haliongei
Na kuhusu Ku log out niingie kama tax bubu nishajaribu ila wapi
View attachment 2853687