Binafsi niliopenda aina ya uchezaji wa pogba huyu mkaka kama sio bangi angekuwa na heshma, kwa sasa haheshimiki kabsa.
Ni kama amepotea ila kama kuna mwl angeweza kumu hundle huyu kiungo anajua mpira.....
pogba anajua mpira, tena kwenye assist this guy is incredible, kama houjlund angecheza na pogba angepiga bao nyingi tu. Natarajia mainoo kufanya kazi aliyoiacha pogba