Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sheffield United inayotumia uwanja wa OLD TRAFFORD
Sijajua board wanaangalia mpira gani.... so far tumekuwa ovyo kweli.... Timu yetu wachezaji hawasurvive sababu ya mfumo mbovu wa uchezaji....ila badala tukomae kujenga structure nzuri tunazidi kudidimia
Nipo na afya njema Mwenyezi Mungu anasaidia....ni majukumu tu yanabana....pia toka bwana Jassim afeli na bid yake nikaona nioujguze speed na hii timu.

Yes Arsenal wameimprove sana sababu ya watu sahihi pale juu hasa Edu (alishinda best football director mwaka huu nafikiri October kama sijakosea)

Naimani tukipata director sahihi na technical director sahihi tunaweza fika sehemu.
 
Manyumbu hatuwapendi ila asanteni sana kwa kazi nzuri mliyofanya.

Tunawaombea muingie top four. UEFA bila nyumbu is boring!

Ila hii mentality ya kushangilia droo sio nzuri kwa timu kubwa kama nyumbu!
 
Manyumbu hatuwapendi ila asanteni sana kwa kazi nzuri mliyofanya.

Tunawaombea muingie top four. UEFA bila nyumbu is boring!

Ila hii mentality ya kushangilia droo sio nzuri kwa timu kubwa kama nyumbu!
Mimi naamini Man U ni timu kubwa lakini si Man U ya sasa,mimi ni shabiki wa Man U lakini kwa game ya jana dhidi ya Liver aliye kwenye ubora tena nyumbani kwake ikiwa tumetoka kufungwa na Bournemouth 3-0 tena OT jana nlitegemea tungefungwa tu. Si sawa kushangilia draw ila kwa mimi kwa matokeo ya jana nmeridhika kabisa
 
Mpira una maajabu sana,yaani unafungwa na Bournamouth OT,kisha unamdindia Liverpool Anfield!!kama naona Mikeka ya watu ilivyochanika jana
 
Ten Hag on Kobbie Mainoo: "When you're good enough, you're old enough. And Kobbie proves that".

"He has some calmness and composure. His biggest qualities is his scanning but he is good physically. He is young, will adjust to the game".
Huyu dogo mtunzeni ana potential sana
 
usiku wa jana wale wahuni wa el cholo wamelala na viatu,
View attachment 2847664
Juzi ulimzungumzia DIEGO RICO, LB wa Getafe. Kila ukiangalia Game za Hawa jamaa Umwone MASON unakutana na Jamaa anatoa Mechi kweli kweli!
Nawazaga sana alishindwaje EPL, Jamaa msimu huu amekuwa mmoja kama sio Best LB kwenye La Liga.

Moja ya Maamuzi naweza sapoti Utawala unaokuja ni kama watafanya juu chini Huyu Dogo acheze tena UTD, Hii ni Sajili Mpya ya thamani ya zaidi ya 100m. Ni moja ya Maana halisi ya Generational. Blanc kazoea Kashfa akiweza isafisha ya Huyu Bwana atakuwa ameokoa Pesa Mingi sana za UTD
 
Mkuu unaandikia left brain maana sikuelewi, pointi unayo ila kuikamata ndio kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…