D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,646
- 121,057
Afadhali limeingia zimwi,Tuchel mtoe musiala,
Atatuua huyu mjinga.
Hajui fair play ni nini
Kila mtu ashinde mechi zake,Copenhagen anaongoza 1-0
Haya wahuni wa bavaria nao wanaongoza 1-0Kila mtu ashinde mechi zake,
Mechi zilikuwa 9 kwa kila upande
inaumizanl sana alafu ndio tunasema big talent yetu....gone are the days we used to be a tertiary institutions of talents.Sidhani kama kuna dribbling aliofanikiwa mdogo wangu garnacho
tuchague kuuza wachezaji 22 au tutoe kocha mmoja?Kila mtu ashinde mechi zake,
Mechi zilikuwa 9 kwa kila upande
😃😃😃👐Nilale tuuTen hag nae haeleweki .... Muda tunaohitaji sub hafanyi ila tumefungwa anafanya sub za nini?..