Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mo Salah ana magoli yake matatu hapo
Bado Gakpo
Bado Trent
Bado Szoboszlai
Bado Diaz

Akiyanani kile kipara kinaenda kukamilishwa rasmi 10Hag
 
Hamshindi hii game. Na mnapigwa sio chini ya goal 3 hapo hapo home kwenu. Tunza hii post
 
eti bwanyenye glazzer Manchester tatizo letu midomo sana
 
Rasmi, safari yenu ya kushiriki UEFA ndio inaisha leo

Habari mbaya ni kuwa hata hiyo Europe hamuambulii
 
eti bwanyenye glazzer Manchester tatizo letu midomo sana
Ali pipi yeye huwa anabashiri nyumbu kushinda 3-1 karibia kila game. Leo wana bahati Bayern hana cha kupoteza ila wale wahuni wa kijerumani nao huwa hawaeleweki. Wazee wa kuua mende kwa nyundo wale. Tuombe Galatasaray na Copenhagen mshindi apatikane ili manyumbu wakishinda leo basi waende Europa. Dream result ni Bayern ashinde ambapo nyumbu atafungashiwa virago arudi matofalini wakasubirie kipigo cha livakuku
 
Kuna team zinapenda sifa ,Bayern points 13 anayefuata point 5 na anacheza na mwenye points 4 Bado kamwekea utd full mziki ,kuanzia Kane hadi Neuer ,Sasa tunawaomba utd mkishindwa kuwafunga wavunjeni TU maana ni Roho mbaya kbsa.
 
Hawa wajerumani sijui wana tamaa ya hela. Kuna €2.8m kwa kila group game ukishinda. Plus wanataka kuload win rate yao ili wazidi kuonekana kuwa stats za kushinda ziko juu kwa ajili ya data za kuwapa wafadhili wapya na kuwapa nguvu katika mazungumzo ya dili mpya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…