Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Pogba alisema mashabiki wa United hawajui mpira.

Kwamba pamoja na timu kutokua na muelekeo hata baada ya pesa yote aliyotumia bado mna imani naye
 
ndugu yangu allypipi mpaka dakika hii sijaona prediction yoyote.
Leo vipi Man Utd inacheza na dunia iko na furaha kama kawaida au bado dunia iko na majonzi na simanzi kwa mauaji ya kimbari yanayofanywa na wazayuni huko Gaza?
 
Mimi nataka hawa manyumbu goal difference yao isome -10, ila siyo lazima mfanye hiyo kazi nyie peke yenu. Wapige 1-0 halafu waachie wengine 6 wa mechi zijazo nao waje wapige moja moja.
Tufaifanya wenyewe hii kazi


Kuwafunga goli moja pekeyake hawa nyumbu ni jambo lisilowezekana.
Mengine tunayapeleka wapi?
Kila strika pale mbele ana magoli yake mawili na kuendelea.
 
Tufaifanya wenyewe hii kazi


Kuwafunga goli moja pekeyake hawa nyumbu ni jambo lisilowezekana.
Mengine tunayapeleka wapi?
Kila strika pale mbele ana magoli yake mawili na kuendelea.
kwa hiyo unaona hii ndiyo chance ya Nunez naye kujipatia vigoli? Mwambie yeye kazi yake ni kulengesha mpira golini tu. Mengine Onana atayaendeleza. Ila basi afunge Nunez peke yake goli moja. Hao wengine wawafunge kina City na Newcastle goli moja moja pia
 
Tufaifanya wenyewe hii kazi


Kuwafunga goli moja pekeyake hawa nyumbu ni jambo lisilowezekana.
Mengine tunayapeleka wapi?
Kila strika pale mbele ana magoli yake mawili na kuendelea.
watakufa kwa presha msimu huu,mashabiki wa unyumbuni
ukiwakuta mtaani wanatia huruma kinoma,hawana raha,
wakiingia mtandaoni ndo balaa
 
kikosi Cha bwenyenye glazer ichi hapa barobaro boys tunawaleta Tena leo watachapwa sana wale.

Manchester United inacheza Leo na dunia nzima ina furaha


My prediction

Manchester United 3 vs Bayern Munich 1



GGMU


ni raha tupu wakubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…