Manchester United (Red Devils) | Special Thread

🤣🤣🤣...shida walimjaza Kipara baba Ubaya kwa kumpa ukocha wa mwezi eti...mi nimebisha sana na kuna mdau wa Manunu akanikasirikia kabisa kwa kumtweza baba Ubaya....tunamsema Ten Hag kwa sababu tunawatakia mema Manunu...tukikaa kimya mtadumbukia kabisa shimoni....fukuzeni hyo jamaa kabla aibu ya mwaka haijawakumba pale Anfield....mwaka jana 7 na kipa De Gea...safari hii na hyu Onana...hakyanani watasusa Uzi wao mazima hawa
 
Kocha bado yupo kwenye matazamio , timua Kocha chap
 
Pumbavu manyumbu ,mmetukazia Chelsea Halafu mnaenda kuliwa mtungo kimasikhara na wahuni Bournemouth .
Jinga kabisa ninyi
 
Mtakuja siku kunielewa

Nilimkataa ETH mech vs Arsenal pale OT mnashinda 3-1

Ni kocha mjanja mjanja Sana ,mwenye uwezo mdogo Sana, anayesubiri miujiza na bahati nasibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…