D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,646
- 121,057
Sasa Kama lengo la rasmus kumkaba kipa asianzishe mashambulishiInabidi uwe na akili kubwa kujua Rasmus anafanya nini uwanjani. Kwangu hata asipofunga sioni shida. Kikubwa anachofanya ni kuzuia timu isianzie mashambulizi nyuma (hii ni hatari) Muda aliokuwepo Masho kule nyuma walijiachia wanavyotaka kuanzisha na kupandisha mipira mbele. Rasmus anambana kipa hawezi kuanzisha mpira hovyo hovyo hali inayopelekea apige tu mbele ambapo mpira unaweza kudondokea kwa adui. Nakumbuka kocha wangu alikuwa anatuambia "Tushambulie zaidi ili kujilinda nyuma" ndivyo anavyofanya Rasmus.
Umemjibu kinafki au ndio akili yako kabisa?Nakubali mkuu. Hilo analofanya Rasmus ndio primary majukumu yake. Kufunga ni ziada tu. Uzuri wa Manchester kila mtu anafunga, leo Martial kesho Chidi.
Good news,MAJOR BREAKING:
Erik ten Hag has LOST 50% of the Manchester United dressing room.
@SkyKaveh
Mourinho will always be ahead of timeMourinho opened the door for Martial to leave when he wanted out in summer 2018 and had high resale value. Anthony Martial will not be sold this summer as Joel Glazer sees him as the club’s ‘Pele’.
#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃[emoji1179][emoji3541]
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨[emoji2522]
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙[emoji837]
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏[emoji469]
#𝙂𝙂𝙈𝙐[emoji123][emoji41]
man utd |View attachment 2833711
Ulishambuliwa sana ulitukanwa Sana ,ukaambiwa mamlukiGood news,
Ukicheka na nyani utavuna mabua
Acha uongo Ally Pipi ,Arsenal hata tukisare mnakuja Kama mafurikoChelsea ikiwa na msimu mbaya uwezi kuona watu wakienda kuchangia kule jukwaa lina baki kimya.
Liverpool ikiwa na msimu mbaya uwezi kuona watu wakienda kuchangia kule.
Arsenal imepitia misimu mibaya lakini jukwaa lao lilikosa wachangiaji kabisa.
lakini ni tofauti na man u hata tuwe na misimu mibaya kaisi gani uji kuona jukwaa letu limekosa wachangiaji.
Unajua ni kwanini sababu ili timu yoyote ipate attention lazima ijibishane na man u tu.
pasipo man u ligi ya EPL inaweza kufa pamoja na man u kufanya vibaya toka Ferguson aondoke ili jukwaa alijawai kupoa sababu man u ni nembo ya soka kwa England na dunia nzima.
GGMU[emoji3590]View attachment 2833546
Kuna series inaitwa Peaky Blinders. Huyu jamaa siyo miongoni mwa wahuni kwenye ile show?Anaifukuzia record ya Weghorst
EPL
Match 10
Assist 0
Goals 0
Weghorst anashikilia record ya mechi 17
Goals 0
Assist 1
Bull StrikerView attachment 2832885