Bado hajafukuzwa tu ?Tushukuruni kwa kila jambo. Naona Mungu anatuelekeza maumivu waliyokuwa wanapitia Arsenal na Liverpool kwa kipindi cha miaka zaidi ya 20 iliyopita.
Sisi hata miaka 10 haijakamilika vizuri tumeanza kulalamika.
Tuweni na shukrani kwa kila jambo wekundu wenzangu.
Huyu Rashford kuna namna lipo shinikizo toka kwa wakuu kwamba lazima acheze.Pale utd hatuna kocha aiseee,
Tunahitaji maboresho mengi sana ila kocha nae mpuuzi tu
🤣🤣🤣...furahieni tu..ndo uanamichezo huo mbona sisi mnatupigia spana sana....tuitieni FlanoSasa hivi tunashindwa kujua kama tukasirike au tufurahie matani ya akina hamis77 na genge lake.
Huwezi kurudia kitu kile kile kila mechi ukategemea matokeo tofauti huyo mwamba anasubiri siku ya kufukuzwa tu.Sasa hivi tunashindwa kujua kama tukasirike au tufurahie matani ya akina hamis77 na genge lake.
Huyo mshenzi hajui anachofanya assistant wake mwenyewe Stve McLaren hakuna jipya hapo.Huyu EtH naye sijui anatarajia nini kila siku ujinga ule ule halafu anatarajia matokeo tofauti.
Huyo mshenzi hajui anachofanya akiona wachezaji wake hawampi anachokitaka akachomoe hata wachezaji kwenye academy na wenyewe wengi amewatawanya kwa mkopoHatuwez kufukuza makocha kila mara alaf wachezaji wale wale haiingii akilin hata kidog.
Hata mimi namkubali sana Eric Ten Hag. Tatizo ni wachezaji.Arteta mbona alizinguana na Ozil na watu waliongea lakin leo mbona hawasemi kam alikosea.
Man U kuna wachezaji wengi tu pale hawastail kuchezea wapo lazy sana hawajitumi pale ata aje kocha gan kwa wachezaji wale hatoboi.
Teh hag sio kocha mbaya sema wachezaji hana yey ameona hawabadilik haw ndio maana anaenda hvyo hvyo bila formula.
Mbona anachagua Sasa Kuna wachezaji kama rashford hana ubavu wakumfanya chochoteArteta mbona alizinguana na Ozil na watu waliongea lakin leo mbona hawasemi kam alikosea.
Man U kuna wachezaji wengi tu pale hawastail kuchezea wapo lazy sana hawajitumi pale ata aje kocha gan kwa wachezaji wale hatoboi.
Teh hag sio kocha mbaya sema wachezaji hana yey ameona hawabadilik haw ndio maana anaenda hvyo hvyo bila formula.
Nikikumbuka kipindi anakuja, alivyokuwa anapambwa humu na matusi ya saivi kwake....nachoka! Poleni wakuuHuyo mshenzi hajui anachofanya assistant wake mwenyewe Stve McLaren hakuna jipya hapo.
Alonso ni balaa lingine.Dortmund anaongoza lakini huu msako anaopigwa dhidi ya leverkusen ni wa kiwango cha lami