Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Bado hajafukuzwa tu ?
 
Sasa hivi tunashindwa kujua kama tukasirike au tufurahie matani ya akina hamis77 na genge lake.
Huwezi kurudia kitu kile kile kila mechi ukategemea matokeo tofauti huyo mwamba anasubiri siku ya kufukuzwa tu.

Unagombana na kila mchezaji halafu unaendelea kupanga wahuni kikosini
 
Arteta mbona alizinguana na Ozil na watu waliongea lakin leo mbona hawasemi kam alikosea.
Man U kuna wachezaji wengi tu pale hawastail kuchezea wapo lazy sana hawajitumi pale ata aje kocha gan kwa wachezaji wale hatoboi.

Teh hag sio kocha mbaya sema wachezaji hana yey ameona hawabadilik haw ndio maana anaenda hvyo hvyo bila formula.
 
Hata mimi namkubali sana Eric Ten Hag. Tatizo ni wachezaji.
 
Mbona anachagua Sasa Kuna wachezaji kama rashford hana ubavu wakumfanya chochote
 
Spurs anaenda na City jino kwa jino hadi dakika ya mwisho na wanatoshana nguvu.
Kwenye hii game Spurs wana watu technical kuliko man Utd, wana watu wana work rate kubwa kuliko united na wana cheza kitimu zaidi kuliko united ya Ten Hag.
Zaidi zaidi Spurs wanacheza kwa ajili ya timu wakati United wanacheza kupata sifa binafsi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…