Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Dah! Umesema kweli Mkuu. Ila wenyewe hawaelewi, wanasahau kama form ni kitu cha muda fulani tu, siyo cha kudumu.

Ova
Nyie tokea 2013 ni lini mmewahi kurudi ktk form? Tena hapo ulikuwa ndio uzoefu wa Fergie ulikoishia mkachukua kombe kimasihara.

Sasa hivi tunaongelea miaka 10, sio kitu cha kudumu hicho?
 
Nyie tokea 2013 ni lini mmewahi kurudi ktk form? Tena hapo ulikuwa ndio uzoefu wa Fergie ulikoishia mkachukua kombe kimasihara.

Sasa hivi tunaongelea miaka 10, sio kitu cha kudumu hicho?
B... tuache, maana utakuwa mwekundu sasa hivi. Lol

Ova
 
Dah! Umesema kweli Mkuu. Ila wenyewe hawaelewi, wanasahau kama form ni kitu cha muda fulani tu, siyo cha kudumu.

Ova
Ikifika Mechi ya 31 tu tutaanza kuheshimiana humu jukwaani maana Pumba na mchele vitakuwa vimejitenga,

hawa Arsenal ni project ya muda mrefu Kombe wanalostahili kuchukua ni Carabao tu ambalo nalo Man utd ndo analipigania kweli kweli kwa jasho na Damu maana ndo linamuweka Mjini.
 
Kumbe kuna watu hawajui hiyo dhihaka ya kuandika hivyo b…?
Nilishangaa imekuwaje hadi ukajibu hivi…
Nilishangaa, ila nikaona acha tu nijibu labda wako wengi wanaotaka kujua.

Ova
 
Eti Kobe mauno na Garimacho[emoji1787][emoji1787]

Unafanya napaliwa had chakula
Mtu unajitambua kweli unakuja kwenye group la wanaume wenye mikonga iliyosimama imara unajitapa shabiki wa arsenal kweli? Harafu unazungumzia UCL ambayo kwako ni anasa? Arsenal Ina mashabiki vilaza sana aisee [emoji3][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23]
 
Eti Kobe mauno na Garimacho[emoji1787][emoji1787]

Unafanya napaliwa had chakula
Mimi nitakuwa mdogo kama piliton humu akinitania shabiki wa Liverpool maana wao ndy icon ya UCL kwenye EPL sasa walevi na wasio na thamani kama arsenal wanipe shida kisa mimi sitapita robo huo ni uzwazwa
 
Eti Kobe mauno na Garimacho[emoji1787][emoji1787]

Unafanya napaliwa had chakula
Team Ina more than 120 years imecheza FAINALI Moja tu ya UCL na ikatatuliwa[emoji2][emoji23][emoji1]wewe unaejiita hanisi huna akili timamu [emoji3][emoji1787][emoji23]
 
Eti Kobe mauno na Garimacho[emoji1787][emoji1787]

Unafanya napaliwa had chakula
Ni sawa na mtu huna mke huruhusiwi kusimamia ndoa yoyote I mean kuwa best man sasa arsenal kombe hili haliwahusu muwe mbali kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]hanis77
 
Eti Kobe mauno na Garimacho[emoji1787][emoji1787]

Unafanya napaliwa had chakula
Nawatangazia kuanzia leo wenye mamlaka ya kuwacheka Manchester United kwenye kombe la UCL ni Liverpool, Chelsea, Nottingham forest,Aston villa na Man City basi sababu hao wanahodhi UCL lkn uchafu mwingine they are not eligible at all, hanis77 you are among of them
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…