Manchester United (Red Devils) | Special Thread

🤠🤠🤠🤠....liverkuku ni mbali...weekend hii na nyukesto tu hapo utaelewa vzuri ndugu yangu
 
Yaani hawa kila wakianza mdomo lazima wapigwe gundi kwanza, ni mpaka wajifunze kua humble.

Wakiiona mechi waifikirie kwa kuzingatia kila kitu na siyo kuamini lazima kushinda kwakua wao ni nyumbu united. Hili somo walijifunza liva, tukajifunza Arsenal.

Mechi ikija mezani hauanzi na vibwagizo vya kimama unaangalia mpinzani unajiangalia na wewe. Ila nyumbu united wao utasikia "leo nyumbu tunacheza watakoma hawa, na lazima tufuzu ni aibu tusipofuzu"

Sasa mpigeni Bayern ili muende Europa au Uefa. Binafsi naamini jana Bayern alifanya makusudi kusuluhu akiamini anamcancel potential rival nyumbu, in fact alitamani afungwe kabisa.
 
Anayejua TEN HAG anatupeleka wapi kiuchezaji na si kimatokeo aniambia, nahisi kama tunapotea.
Ten Hag ni fala! Wachezaji wabovu kama Onana na Antony anawabeba japokuwa wanafanya makosa karibia kila mechi, ndiyo maana Sancho akaamua kutoa ya moyoni. EtH ni falafala mmoja hivi. Atolewe tu ndiyo akili imkae sawa. Varane kam-drop ila wangese wake ndiyo anawabembeleza.

Ego the size of Old Trafford.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…