Yeah kwa hizo 25% kapewa nguvu kwenye depertment ya kusimamia masuala ya kiufundi na performance ya timu.Ambacho sielewi, inakuwaje 25% akawa ndiyo owner na mwenye maamuzi kuzidi 75%? Kuna kitu nimemiss.
Everton yupo mkiani, hana cha kupoteza, kashapaka mkongo.. Kwa kifupi mjiandae.
Kesho naangalia mpira miguu juu!
Last 5 matchLeo kajichanganya kayatimba
Bado mnawaza historia.. Haya, mimi nipo pale!Last 5 match
Man United won 4/5
GLORY GLORY MANCHESTER UNITED
Yani hiki kikundi chote kina goli 1 tu!😂🙌[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2825390
Unawazingizia mzee[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2825390
Labda mki shinda njaaMaajabu haya..
Yaani leo tukishinda City atakuwa anatuzidi point tano na Liverpool atakuwa anatuzidi nne..
Relax bro, msimu jana tumekamata nafas ya tatu.Maajabu haya..
Yaani leo tukishinda City atakuwa anatuzidi point tano na Liverpool atakuwa anatuzidi nne..
Mnashindia wapi...mkijitahidi leo shilingi inasimama kati...ila mnadundwaMaajabu haya..
Yaani leo tukishinda City atakuwa anatuzidi point tano na Liverpool atakuwa anatuzidi nne..
Nyie hata point muwe sawa na wale nafasi za juu ,kwa mpira wenu wa janja janja mtapotea
Mmeshinda mechi 3 ,against mid teams halafu zimewasumbua Sana, kama luton
Magoli ya dakika za mwisho