Mkuu tungeshinda lakini ujinga wa moyes umeonekana mapema sana kwenye line up. Hivi huyu cleverly amefata nini hapa uwanjani na ni watu wangapi wako nje kwa ajili yake. Na kosa lingine hii mechi hatuna wawinga tutagungaje magoli kupitia hapo katikati kwa kompany??
Giggs kacheza mechi moja juzi anatoa pasi za mwisho za maana za magoli. Cleverly kacheza mechi 20 kafunga goli moja na hajawahi kutoa pasi hata moja ya goli..poor moyes
Mkuu ukiujua ukweli na ukaukubali ukweli huo unapata amani sana...under moyes hacha kabisa kujipa matumaini twende tukaangalie game tukiwa na moyo mweupee kwamba tukifungwa sio jambo la ajabu na wala sio bahati mbaya...ila kama ikitokea TUKABAHATISHA tukawashinda Man City tushangilie sana...
I am telling you brother huyu jamaa na bench lake la ufundi wametuaribia timu ni bora tufungwe tu..ili aondoke tu..ila ushindi nao naupenda
Yaani moyes kanikera mno kwa nini kamuweka kagawa nje ina maana cleverley ni bora kuliko kagawa??? Dah huyu jamaa sijui nani huwa anamshauri selection yake ya timu
Na mpinzani wetu wa uefa bayern munich yuko ugenini kwa hertha berlin kashampiga 2-0 ht. Akishinda hii mechi ya leo anatangazwa bingwa wa ujerumani...hatari
Yaani moyes kanikera mno kwa nini kamuweka kagawa nje ina maana cleverley ni bora kuliko kagawa??? Dah huyu jamaa sijui nani huwa anamshauri selection yake ya timu
hilo mosi pili mimi nilijua kuumia kwa rvp kwa njia moja ama nyingine kungemrahisihia kazi ya kupanga kikosi kwa maana angemuweka na. 10 ama mata au kagwa na rooney acheze mbele matokeo yake kumi kaenda kumpanga fellaini dah im little bit disapointed with this.