Hakuna kitu chochote anachoingiza 7hag ,anacheza ilimradi akipata matokeo inshallah ,akikosa analalamika ,Nitajie timu mbovu EPL, ili tujitathimini make hata Luton sio mbovu, Fulham sio, Wolves sio EPL hakuna mbovu.
Arteta miaka kibao alikuw haijui top 4, sie wetu hajawahi maliza nje ya top 4.
Tulia, uzuri kocha wetu anadai bado kuna vitu na style anaiingiza, so ni promising land.
Nowdays ball linapigwa, na UCL tunatoboa mpk semi
Ndio hatuendi,kwani niniHakuna timu ya kumfunga Galatasalay hapa
Bayern anakuja kuwapiga Hapo Hapo sebuleni kwenu hata Europa hamuendi
Hili lijamaa linaitwa Hamis likorofi kama Yoweri Kaguta ,huyo Hoju ni mdogo wake Haland 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Martinelli, Nketiah, Saka = 10 PL goals
Sterling, Jackson, Palmer = 14 PL goals
Son, Maddison, Kulusevski = 14 PL goals
Jota, Nunez, Salah = 18 PL goals
Haaland, Alvarez, Foden = 20 PL goals
Rashford, Hojlund, Antony = 1 PL goalView attachment 2812723
Hoj wapo sawa na nkunkuHili lijamaa linaitwa Hamis likorofi kama Yoweri Kaguta ,huyo Hoju ni mdogo wake Haland
Ten Hag ameshafeli kimbinu siku nyingi. Kwa wakati huu acha tujipoze na hizi WWW za papatu papatu
Kuna wakati huwa nawaona wazungu nao ni kama wanabahatisha kwenye taaluma yao kiukweli utd sio mbovu kama watu wanavyodhani ila kuna wajinga wachache wapo kwenye hii timu wala hawajui wanachokitafuta. Kwa kiasi kikubwa ugonjwa wa timu yetu bado haujatibiwa na sijui ni kwanini makocha wote wameshindwa kubaini tatizo hasa la timu lipo wapi.
Kunaweza kuwa na matatizo mengine hasa ya menejimenti lakini tatizo letu kubwa hasa lipo kule mbele kwa winga na straiker zetu. Kwa mtu mwenye akili timamu hawezi kumuanzisha Rashford kila mechi wakati huyu hasa ndio kirusi cha timu kwa sasa ashukuriwe Mungu kwa sasa Martial aanzi why not Rashford?
Kila straiker anayekuja kucheza na huyu dogo lazima amfelishe kwa sababu ya ubinafsi wake tumeona hili kwa Igalo, Cavani, Lukaku na Ronaldo. Dogo ni mbinafsi na anaroho mbaya sijapata kuona. Sasa anakwenda kumfelisha Hodjlund. Haiwezekani timu kila mwaka inakuwa na goli difference negative au zisizozidi 15. Mwaka jana kipa bora kawa De gea lakini goli difference ni cha chache. Misimu karibu sita tunamaliza na vigoli vichache, hivi hawa wazungu waneshindwa kujua tatizo lipo wapi? Timu inahujumiwa na huyu Rashford atukatai kufungwa ila na sisi ingekuwa tunafunga goli nyingi tungekuwa kwenye nafasi nzuri. Tunaona City wanavyomtengenezea nafasi Haland huku kwetu Rashford anashindwa mtengenezea wenzake na akitengenezewa yeye hafungi. Yaani huwa na muangalia Ten hag huwa simmalizi sijui anashida gani huyu bwana na Rashfird wake.
Wewe utasema liwalo na liweHadi unatamani tungecheza kama Chelsea vile, unatufunga na sisi tunakufunga yaani hatuogopi chochote kile nyie njooni na sisi tunakuja tena Kwa nguvu, liwalo na liwe...
Endeleeni kujifariji ila uwanjani kichapo ni kilekileBado tupo tupo
View attachment 2812656
....Manjesta mpo kundi na wafuga ng'ombe wa Scandinavia, Copenhagen na wacheza movies kina Atur Bey ,
Cha ajabu mnashika mkia
Mngewekwa kundi na kina Sevilla ,Lens na PSV simngetoka na point 0View attachment 2813387
Sisi siyo Chelsea either utufunge au tukufunge tukiamua kuchukua point tatu tunazibeba na tukitaka kumuachia unabeba zoteHadi unatamani tungecheza kama Chelsea vile, unatufunga na sisi tunakufunga yaani hatuogopi chochote kile nyie njooni na sisi tunakuja tena Kwa nguvu, liwalo na liwe...
Timu inayopambana kidogo tu,zimekuwa zinashinda vs manjesta,Utashangaa Everton anawafunga.
Huko UEFA sijui hata mlifika vipi !
Yaani mtakaamgwa
Janjajanja za 7Hag zimmegonga mwambaTimu inayopambana kidogo tu,zimekuwa zinashinda vs manjesta,
Kwahiyo tunaweza kubeba ligi sio??Pamoja na yoote,Man utd ndio tim iliyobeba point nyingi zaidi kwa michezo mitano iliyopita (point 12) kuliko tim yoyote epl.
Tofauti kati ya anayeongoza ligi na man utd ni point 7 pekee,ndio kwaanza tupo game ya 12 kati 38.
Wait,trust the process