Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hakuna kitu chochote anachoingiza 7hag ,anacheza ilimradi akipata matokeo inshallah ,akikosa analalamika ,

After international break vipigo vinarejea
 
Hakuna timu ya kumfunga Galatasalay hapa

Bayern anakuja kuwapiga Hapo Hapo sebuleni kwenu hata Europa hamuendi
 
Hili lijamaa linaitwa Hamis likorofi kama Yoweri Kaguta ,huyo Hoju ni mdogo wake Haland 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Manjesta mpo kundi na wafuga ng'ombe wa Scandinavia, Copenhagen na wacheza movies kina Atur Bey ,

Cha ajabu mnashika mkia

Mngewekwa kundi na kina Sevilla ,Lens na PSV simngetoka na point 0
 
Utashangaa Everton anawafunga.


Huko UEFA sijui hata mlifika vipi !
Yaani mtakaamgwa[emoji1787]
 
[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bado hamjasema
 
Manjesta hizi point mlizonazo Ni mechi mlizoshinda ,bado Kuna vipigo vingi na droo vinakuja

Naiona manjesta ikishika nafasi za 7-10

Kama unabisha ,njoo tuwekane sawa hoja kwa hoja
 
Pamoja na yoote,Man utd ndio tim iliyobeba point nyingi zaidi kwa michezo mitano iliyopita (point 12) kuliko tim yoyote epl.

Tofauti kati ya anayeongoza ligi na man utd ni point 7 pekee,ndio kwaanza tupo game ya 12 kati 38.

Wait,trust the process
Kwahiyo tunaweza kubeba ligi sio??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…