Tumeshakubali kuwa kwenye sajili hayupo vizuri pia ukiachana na hiyo management haina watu wa mpiraNi bora usisajili kabisa kuliko kusajili mchezaji asiye sahihi.
Hii kauli sijui aliizungumza nani.
Umesahau kama casemiro kanunuliwa kwa euro millioni 70 ili awe namba 6.
Msimu huu amesajiliwa mount awe namba 8 kwa 55 million pounds.
Left back alimsajili malacia
KweliTumeshakubali kuwa kwenye sajili hayupo vizuri pia ukiachana na hiyo management haina watu wa mpira
Yaaan kwa kweli kuna wakati wanadamu tuache unafiki ona ssa yule mwanamke alimpeleka gerezani wapo nae getafe na hawatamani tena kurudi EnglandAmenifanya nimekuwa shabik wa getafe kila ninapomuona nikikumbuka tumebaki na antonyni huzuni kwel kwel
Akichukua 25% Sir jim labda tutaanza kuona mabadilikoKweli
Wale United womens fans ni wajinga haswaaYaaan kwa kweli kuna wakati wanadamu tuache unafiki ona ssa yule mwanamke alimpeleka gerezani wapo nae getafe na hawatamani tena kurudi England
Yaaan kwa kweli kuna wakati wanadamu tuache unafiki ona ssa yule mwanamke alimpeleka gerezani wapo nae getafe na hawatamani tena kurudi England
Umeangalia mpira??? Naona umeongea kinyume. Ya Liverpool umeyakweka Man U na ya Man U umeyaweka Liverpool. D A E M U S H I NStandard yetu ya kiuchezaji imeshuka sana, walipotuona hatuna madhara hawa jamaa kuanzia dakika ya 25 wakaamua kwenda jino kwa jino dhidi yetu.
Walipocheza na liverpool muda wote walikuwa nyuma.
Tuna timu ya kucheza EUROPA na CONFERENCE LEAGUE.
Tusipumbazane
Nimeangalia walipocheza dhidi ya liverpool.Umeangalia mpira??? Naona umeongea kinyume. Ya Liverpool umeyakweka Man U na ya Man U umeyaweka Liverpool. D A E M U S H I N
Dogo anajikaza sana. Mimi huyo mwanamama nisingetaka hata kusikia harufu yake.Yaaan kwa kweli kuna wakati wanadamu tuache unafiki ona ssa yule mwanamke alimpeleka gerezani wapo nae getafe na hawatamani tena kurudi England
Wameshazaa na mtoto, ujana una vitu vingi sana mkuu. Maisha lazima yaendeleeDogo anajikaza sana. Mimi huyo mwanamama nisingetaka hata kusikia harufu yake.
Mkuuu upendo hujui dogo anapewa nniDogo anajikaza sana. Mimi huyo mwanamama nisingetaka hata kusikia harufu yake.
Nadhani baada ya hii break ya international matches Amad atakuwa amerudi, tutakuwa na choices za kutosha ule upande, Pellistri, Amad, Antony, Rashford (Ikitokea kama jana).Amenifanya nimekuwa shabik wa getafe kila ninapomuona nikikumbuka tumebaki na antony😃😃😃ni huzuni kwel kwel
Pengine anapewa mchanganyo,Mkuuu upendo hujui dogo anapewa nni
Mkohoti mchanganyo ndio nni mkuuu? Umeniacha mbali sanaPengine anapewa mchanganyo,
Mchanganyo habari nyingine shehke! Unaweza ukahonga nyumba ya urithi
Tatizo ten Hag hawezi kukubali kumuacha kipenzi chake njeNadhani baada ya hii break ya international matches Amad atakuwa amerudi, tutakuwa na choices za kutosha ule upande, Pellistri, Amad, Antony, Rashford (Ikitokea kama jana).
Point 3 za jana zilikuwa muhimu sana, Brighton na Aston Villa yoyote akidondosha point leo itakuwa vizuri sana.
Siku tafuta kasungura tope ch uswahilini, kaombe mchanganyo. kakikupa ndio utajua ni nini mkuu, ila usijaribu kuomba mchanganyo kw nyumba kubwa.Mkohoti mchanganyo ndio nni mkuuu? Umeniacha mbali sana
Ha ha ha nimekuelewa mkuuu kumbe ndio hivyo ni mbaya sana mkuuSiku tafuta kasungura tope ch uswahilini, kaombe mchanganyo. kakikupa ndio utajua ni nini mkuu, ila usijaribu kuomba mchanganyo kw nyumba kubwa.