Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Umeangalia mpira??? Naona umeongea kinyume. Ya Liverpool umeyakweka Man U na ya Man U umeyaweka Liverpool. D A E M U S H I N
 
Amenifanya nimekuwa shabik wa getafe kila ninapomuona nikikumbuka tumebaki na antony😃😃😃ni huzuni kwel kwel
Nadhani baada ya hii break ya international matches Amad atakuwa amerudi, tutakuwa na choices za kutosha ule upande, Pellistri, Amad, Antony, Rashford (Ikitokea kama jana).

Point 3 za jana zilikuwa muhimu sana, Brighton na Aston Villa yoyote akidondosha point leo itakuwa vizuri sana.
 
Tatizo ten Hag hawezi kukubali kumuacha kipenzi chake nje
 
Kusema kweli Rashford anatukaba sana ni vile tu mwalimu hana chaguzi za maana kwenye ile nafasi. Siku akijilipua akamwamini Amad,Pellistri au dogo mwingine tungeona tofauti kubwa sana kiuchezaji hasa katika idara ya ushambuliaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…