D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,646
- 121,057
iko wazi, huyu ETH anampeleka taratibu.Sema hata hivyo mnawachezaji wa hovyo mtu kama martial
Jamaa anacheza mechi nyingi sanaa club na national team lazima achokeTunacheza vizuri, siamini kama hii ndio ile Luton ilimtoa kamasi Liverpool last week.
Kuna wakati itabidi Bruno nae aanzie bench. Amekuwa mzito sana siku hizi.
KwaniniBinafsi huu ushindi haujanifurahisha hata kidogo
Ni bora usisajili kabisa kuliko kusajili mchezaji asiye sahihi.ETH akipata middle wazuri 6 na 8 (eg Barela)
Winger nzuri zeny akili
CB, LB
huyu mzee mtampenda mdogo mdogo, ngonj sir jim atue ili asaidie kweny usajili makini.
Jana nimemuon du anahatari sana dgo yuko faster sana ana nguvu sanaGreenwood ana goli7 mpk sasa na ametoka gerezani, nyie foward yenu ina goli ngap?
Mnachotaka kusema hapa ni kipi😀
Sio wajibu wako kuamini mkuuHivi hii ni timu? Binafsi yangu sijawahi kuamini kama hii ni timu.!
Amenifanya nimekuwa shabik wa getafe kila ninapomuona nikikumbuka tumebaki na antony😃😃😃ni huzuni kwel kwelJana nimemuon du anahatari sana dgo yuko faster sana ana nguvu sana
Tumeshakubali kuwa kwenye sajili hayupo vizuri pia ukiachana na hiyo management haina watu wa mpiraNi bora usisajili kabisa kuliko kusajili mchezaji asiye sahihi.
Hii kauli sijui aliizungumza nani.
Umesahau kama casemiro kanunuliwa kwa euro millioni 70 ili awe namba 6.
Msimu huu amesajiliwa mount awe namba 8 kwa 55 million pounds.
Left back alimsajili malacia