Sasa nyie Arse8 mnashindana UEFA au mnasindikiza wanaume kama kawaida yenu.
Aser8 ni sawa na yule mbwa wako unayemuamini ni mkali sana mtaani, siku unampeleka josho kumuosha anakutana na mambwa ya polisi, anaanza kulia chini chini, kuingiza mkia matakoni na kuburuza miguu ya nyuma.