verifaidi yuza
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 3,127
- 6,179
Wanaongoza kwnda majukwaa ya wenzao kufanya Fujo utadhani Wana watu wa kazi vile🤠🤠🤠....wanashika mkia leoPiga haoooo
ila kundi lao wanaweza kumaliza wapili. Tungoje wamalize mechi zao zoteWanaongoza kwnda majukwaa ya wenzao kufanya Fujo utadhani Wana watu wa kazi vile🤠🤠🤠....wanashika mkia leo
Flano na Allypipi waje watueleze nn kimetokea ndugu zetu...hii sio kawaida🤠🤠🤠Ni bas tu hawa Copenhagen na wnyw ni tia tia maji tu lkn izi game 2 za man u walipaswa kuchukua 6 out 6 points tena bila shida kbs.
Man u hata Europa hafai kwenda maana ni takataka kbs.
Ukitaka ujue hii club iko kwny situation mbaya tambua kwmb kwny hili kundi man u ndo kibonde.. Iyo inatosha kukwambia kila unalotaka kujua khs hali ya hawa mashetani wekundu.
Wapili kutoka mwsho unamaanisha sio🤠🤠🤠...these guys are finished....wamebakisha na Gala na Bayern....wakijitahidi wanapata point moja kwny hzo mechi....aisee wabondwe kwlikwli.....tena wakung'utwe hasaila kundi lao wanaweza kumaliza wapili. Tungoje wamalize mechi zao zote
Kwhy hata wakimaliza wa 2 mkuu unahis wataenda wap?ila kundi lao wanaweza kumaliza wapili. Tungoje wamalize mechi zao zote
Mkuu hawa hata kuwacheka unapoteza mda wako tu.Flano na Allypipi waje watueleze nn kimetokea ndugu zetu...hii sio kawaida
inaweza kuwapa momentum na usono wa hali ya juu, ukapelekea kushinda mechi nyingi za premier league na champions league wakaenda zaidi mpaka kushinda double ama trebleKwhy hata wakimaliza wa 2 mkuu unahis wataenda wap?
Yan man u kama wana akil timamu hata wasiangaike kumaliza iyo wa 2 au hata 3 kwend Europa.
Maana iyo Michuano nakuambia hapa wakipita watakuja kukutana na kipigo cha mbwa koko round of 16 watapata aibu ya karne.
Labda aanze kucheza kocha mwnyewe uwanjan...maana wachezaji hawaelewi anachowafundishainaweza kuwapa momentum na usono wa hali ya juu, ukapelekea kushinda mechi nyingi za premier league na champions league wakaenda zaidi mpaka kushinda double ama treble
tusiwatabirie kuanguka kwanza mpaka waanguke kwanza. Acha wapate false hopes. si unajua kina flano ndio wakwanza kutuita sisi false hopes fc ingawa wao wanachokifanya kinawafanya wastahili hilo jina zaidi yetuLabda aanze kucheza kocha mwnyewe uwanjan...maana wachezaji hawaelewi anachowafundisha