Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Haya maneno hatabadilika baada ya kupokea tena vichapo mfululizo 😂Eric ten hag ndiye atakayeleta Epl old trafford
Napongeza uongozi kwa kuwa wavumilivu
Manchester united inacheza vizuri sana ukiangalia mechi ya manchester united dhidi ya manchester united timu ilicheza vizuri sana
Mechi ya leo dhidi fulham timu imecheza vizuri sana very compact
Mechi ya Newcastle naamini kocha aliamua tutolewe kwenye mashindano ili kupunguza utitiri wa mechi
Bado naamini eric is the right man
Ila anahitaji director kwasababu kwenye usajili anakosea sana
Amrabat na fred ni wale wale tena bora fred ana pace
Tumpe muda kocha naona mwanga kwenye timu
Antony aligoma kula ili asajiliwe Man Utd.
Onana aliigomea Inter ili asajiliwe Man Utd.
Amrabat yeye ndo akagoma hadi kufanya mazoezi ili asajiliwe Man Utd..
Sasa naamini utapeli hauwezi kuisha duniani!
Hawezi kumpita mtu cause mguu wake wa kulia hauna kazi.Hivi huyu anthony inakuaje anashindwa kumpita walau defender hata mmoja panapotokea situation ya 1v1?
Ubora wake kama winga unatokea wapi ilhali hata kupiga krosi pia hawezi?
Nasubiri majibu toka kwa wataalam wa mpira.
Aaah basi kama ni wa ihefu na ameifungia man u tutamshukuru.Hili nalo ni la kuuliza?
Wa Ihefu Mkuu 😂
Wewe kama nani, everything is possible my dear...kama bado ni kocha wa United unapaswa wote tumsapotiUmepuyanga Tu hawez leta hata kikombe cha kahawa na UEFA ataishia 16 Bora Tu tena kwa mbinde
Tunachambua kitu kile kile kila sikuWanangu mmepoa sana humu ndani
Mwanangu uko positive sana. Hongera sana kwa ubarikio huo.Wewe kama nani, everything is possible my dear...kama bado ni kocha wa United unapaswa wote tumsapoti
Sisi Chelsea tunakuja mdogo mdogoWewe kama nani, everything is possible my dear...kama bado ni kocha wa United unapaswa wote tumsapoti
Karibuni....nyie ni ndugu tupande pamoja😅😅Sisi Chelsea tunakuja mdogo mdogo
Tukishinda na nyie mnashinda😃😃😃Sisi Chelsea tunakuja mdogo mdogo
Mapacha wanaofanana 🤣Tukishinda na nyie mnashinda😃😃😃