Manchester United (Red Devils) | Special Thread

tunapo zungumzia matatizo ya glazer hata kocha akiwa ni mbovu lazima lawama tuwatumie wao tu

tunaongea ivyo maana wao ndo wanatuamulia ni nani awe kocha wetu ina maana kama kocha wetu yupo chini ya kiwango bado wao ni wakulaumiwa tu
wataletaje kocha mwenye uwezo mdogo kwenye timu kubwa kama Manchester?

glazer kwenye kuwalaumu hatuwezi kuacha maana wao ndo wanatuletea makocha wanaamua nani awe kocha wetu

ina maana wao waliona Eric 10 hag anatosha kama hatoshi basi wao wanakwepaje lawama hawakumpima uwezo wake kuwa anastahili kupewa timu kubwa kama Manchester.

Kwaiyo kama watakuwa hawana uwezo wakutuletea makocha wenye uwezo na wao ndo maboss wetu ndo maana tunapiga kelele hawatoshi

#glazer OUT
 
Leo tunaenda kuangalia balobalo Boys ama tuachane nao kwa muda 😃😃😃
 
Sijajua kwa nini ETH anampenda Erickson na Dalot....Bissaka karudi mwenye namba yake kuliko kumuweka Dalot nje anaona bora Reguilon akae benchi ili Dalot wake acheze namba 3.

Erickson ni mzee hawa huwa wanaingia dakika ya 75.

Kocha mjinga sana huyu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…