Abby Uladu
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 2,248
- 4,671
Tumchukue huyu auAlejandro Grimaldo alikuwa mchezaji huru mwezi June mwaka huu baada ya kumalizana na SL Benfica, baadhi ya vilabu vikawa vinazubaa tu - Xabi Alonso akamuona akamchukua mwezi wa saba.
Grimaldo ni fullback ya kuogopwa sana sababu ana uwezo mzuri wa kukaba na kupanda na kupiga mipira ya adhabu, kwenye faulo ni mchawi sana.
Amecheza michezo 9, goli 3, pasi 3 za mwisho.
Jonas Hofmann ana miaka 31 amecheza muda mrefu pale Borussia Monchengladbach, kumbe release clause yake ilikuwa ni €10m tu.
Xabi Alonso akaomba pesa kipengele hicho kikavunjwa akamchukua.
Jonas Hofmann yupo kwenye ubora mkubwa sana na ni mchezaji muhimu sana kwenye kikosi cha Xabi Alonso, mpaka sasa amecheza mechi 9 na kufunga mabao 5 na kutoa pasi 3 za mwisho kwenye Bundesliga msimu huu.
Wakati mnawazungumzia akina Victor Okoh Boniface, Florian Wirtz, Exequiel Palacios, Edmond Tapsoba, Jeremie Frimpong, Granit Xhaka - msiwasahau hao sababu nao wamechangia Leverkusen kuwa kileleni mpaka sasa.
Xabi Alonso things.
Man U tumerogwa na nan?View attachment 2802418
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Vitu ambavyo kocha wa man united Ana tetewa kua amekuta wachezaji wabovu mwamba amekuta leverkusen ina wachezaji wale wale walio kua ktk bad seasons zilizo pita ila ame ongeza baadhi ametengeneza pattern yake ya uchezaji watu Wana flow nayo Ana tumia mbinu ambazo zina fit kwa wachezaji alio wakuta ameongezea vitu vichache tuFighting spirit ni km ile tulionyesha against Barcelona mwaka jana.
Lakini chemistry inataka wachezaji sahihi, ETH anamtaka Jean Todibo analetewa Evan's, kina mount, Antony, Casemiro na wengine wengi ni punic buy ambazo ndio kosa la top management.
Sasa makocha 7 wote wanalalamika au wanafelishwa na usajili.
Japo na yeye ni weak coz kocha bora unaanza na ulichonacho.
Binafsi siungi mkono wachezaji wa United, coz ndio wanaangusha makocha.
Rashford msimu uliopita kacheza vizuri na kumdaganya kocha kuwa usiwe na tabu kuhusu left wing, then rapidly kiwango kinashuka na kuwa hovyo, na hii wanavo wachezaji wengi wa United.
Wanatudaganya kwa 1 season performance then msimu ujao wanashuka viwango.
Maguire wa Leicester £80 million, unahisi ndio huyu wa leo kwanini akose mwendelezo hata wa performance yake binafs acha inayotengemea Chemistry ya timu.
united hatujui tatizo ni nini? Na ndio maana tuna tapatapa mwaka wa kumi sasa.
ETH sio tatizo pekee, wachezaji ndio tatizo, wahojiwe kwanini hawana mwendelezo wa match hadi match na msimu hadi msimu kama Salah, saka, halaand, kdb, kane, etc na waeleze kwanini wanacheza bila morali sababu hata kwa jicho la kipofu utagundua United player ni matapeli.
Uko sahihi brother, Huyu kocha kafanya makubwa sana na AJAX AMSTERDAM na soka lililokuwa linapigwa pale AJAX kwa tuliokuwa tunafuatilia soka la UHOLANZI tuliliona. Basi tu Manchester United nako kuna changamoto zake nyingi tu.ETH kashapagawa ,anasema KAMWE hataweza kucheza Kama Ajax
Wakati anamsajili Lisandro ,Onana ,mount ,Hojlund ,amrabat malengo yake ilikuwa kucheza aina gan ya football?
Unaona kabisa hata anachofanya hakieleweki
Kwasasa kagundua kashaingiza hasara ,Hawa wachezaji hawezi kuwaondoa ,
ETH ndiye kocha aliyependelewa na Grazzer family kuliko wote waliopita baada ya Fergie
Lakini ndiye kawa disappoint kwa kiwango kikubwa
Nimependa uchambuzi wako ,Alejandro Grimaldo alikuwa mchezaji huru mwezi June mwaka huu baada ya kumalizana na SL Benfica, baadhi ya vilabu vikawa vinazubaa tu - Xabi Alonso akamuona akamchukua mwezi wa saba.
Grimaldo ni fullback ya kuogopwa sana sababu ana uwezo mzuri wa kukaba na kupanda na kupiga mipira ya adhabu, kwenye faulo ni mchawi sana.
Amecheza michezo 9, goli 3, pasi 3 za mwisho.
Jonas Hofmann ana miaka 31 amecheza muda mrefu pale Borussia Monchengladbach, kumbe release clause yake ilikuwa ni €10m tu.
Xabi Alonso akaomba pesa kipengele hicho kikavunjwa akamchukua.
Jonas Hofmann yupo kwenye ubora mkubwa sana na ni mchezaji muhimu sana kwenye kikosi cha Xabi Alonso, mpaka sasa amecheza mechi 9 na kufunga mabao 5 na kutoa pasi 3 za mwisho kwenye Bundesliga msimu huu.
Wakati mnawazungumzia akina Victor Okoh Boniface, Florian Wirtz, Exequiel Palacios, Edmond Tapsoba, Jeremie Frimpong, Granit Xhaka - msiwasahau hao sababu nao wamechangia Leverkusen kuwa kileleni mpaka sasa.
Xabi Alonso things.
Man U tumerogwa na nan?View attachment 2802418
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Ni kama Ten Hag ameshaanza kushout hawelewi wachezaji wakeTen Hag: "I want to play from the back and we try that in every game, but like against Man City, if they are good at pressing, it's a good option to go direct. We want to press, then go direct, because we have the players who are very good at it."
Hakuna kocha hapo. Anajisifu msimu uliopita alicheza vizuri wakati ni game za kuhesabika tu. Huyo kocha alikuwa mzuri kwa league ya watoto huko Uholanzi huku kasha fail.Ni kama Ten Hag ameshaanza kushout hawelewi wachezaji wake
Sahihi kabisa ,Game alizocheza vzr zinahesabikaHakuna kocha hapo. Anajisifu msimu uliopita alicheza vizuri wakati ni game za kuhesabika tu. Huyo kocha alikuwa mzuri kwa league ya watoto huko Uholanzi huku kasha fail.
Bodi ya Man u wasichelewe kufanya maamuzi walete kichwa kingine.
Ahsante mkuu kimsingi tunaangalia ukweli na uwazi katika timu yetuNimependa uchambuzi wako ,
Tutaongea lugha moja tatizo la United ni kubwa kuliko tunavyodhani[emoji599]Ni Nini Cha Kawaida Kati Yao? Walizungumza Ukweli kuhusu Manchester United na walikosolewa... [emoji854][emoji3596]
[emoji2788] Louis van Gaal: "Man Utd ni klabu ya kibiashara, tofauti kabisa na Bayern. Kwa Bayern soka ni kitu muhimu zaidi, si pesa, kama ilivyo United."
[emoji2788] Louis van Gaal : "Katika Bayern, watu wanaosimamia soka ni wanaume. Nilifurahia hilo kila mara. Kwa upande mwingine, huko Manchester United, ed Woodward alitawazwa kama mkurugenzi mkuu - mtu asiyeelewa kabisa soka ambaye hapo awali alikuwa benki ya uwekezaji. ."
[emoji2788] Alexis Sanchez : "Baada ya kikao cha kwanza nilirudi nyumbani - nilimwambia wakala wangu 'huwezi kuvunja mkataba ili kurejea arsenal?' Wakati mwingine kuna mambo ambayo hutambui mpk najiuliza nilifika vipi man utd, na nakumbuka kipindi cha kwanza cha mafunzo nilichokuwa nacho, niligundua mambo mengi."
[emoji2788] Zlatan ibrahimovic : "Kila mtu anaifikiria Man utd kama klabu ya juu, mojawapo ya matajiri na yenye nguvu zaidi duniani na nikionekana kutoka nje ilionekana hivyo kwangu. Lakini mara nilipokuwa huko nilipata mawazo madogo, yaliyofungwa. "
[emoji2788] Jose Mourinho : "Mojawapo ya kazi nzuri zaidi ya maisha yangu ilikuwa kumaliza rasmi nafasi ya pili nikiwa na man united katika ligi kuu. Ninaendelea kusema hivi kwa sababu watu hawajui kinachoendelea nyuma ya pazia."
[emoji2788] Cristiano Ronaldo : "Manchester Utd haikupiga hatua. Real Madrid na Juventus zilifuata teknolojia ya hivi majuzi, miundombinu. Kila mara walijaribu kusonga mbele hata katika masuala ya mazoezi, lishe na jinsi ya kupata nafuu kutokana na michezo. Man United iko nyuma ya klabu kama hizo."
[emoji2788] Cristiano Ronaldo : "Naitakia klabu bora, mashabiki wanastahili ukweli. Una mambo ndani ya klabu ambayo hayasaidii Man Utd kufikia kiwango cha juu kama Man City, Liverpool na hata sasa Arsenal."
MAWAZO? [emoji854][emoji3595]View attachment 2802875
Naomba kuuliza hii DNA anamaanisha nini?Ten Hag: "I came here with my philosophy, based on possession, but also to combine it with the DNA of #mufc, but also with the players and their character. We combined it last year and we played very good football last season..."
[emoji1787][emoji1787]Siku hizi week ends za EPL tunakuwa waoga sana kuongelea mpira.
Vinasaba anachoongelea hapo ni style yetu ya uchezaji ambayo tumezoea ambayo ni direct football..Naomba kuuliza hii DNA anamaanisha nini?