Acha Tu Yani hii unaniumiza balaa Acha njkachek interview yake pengn nitapata mwangaHizo timu ulizozitaja kazifatilie mifumo Yao ya uongozi afu fatilia na Manchester United nadhani utapata jibu lako au kamsikilize bwana Edu wa arsenal ka interview kake ka majuzi apo
ume uwa band , mie nalia na kocha , mmiliki ana fanya kazi yake vema!Shida sio wachezaji shida ni mfumo kutokana na watu ulionao,lini umemuona kocha anachezesha mfumo mwingine zaidi ya 4-2-3-1 hapa ndio shida iliopo,huu mfumo unataka watu kukimbia muda mwingi hao watu utd hakuna,kwa leaking ya magori alitakiwa kufanya switch to either 3-5-2 or 4-5-1 ili kufanya watu wasikimbie sn otherwise kwa mfumo wake apandishe madogo wa u23/21/18 wamsaidie bilahivyo watamuondosha
ukitaka kujua mtupu ili acheze mpira kama ajax lazma apate wachezaji wengi wa ajax au alivyomkosa de jong ndo basi tena hawezi kucheza hivyo yani dunia nzima mchezaji ni de jong tu na angempata kisha akaumia msimu mzima ?ume uwa band , mie nalia na kocha , mmiliki ana fanya kazi yake vema!
Tena Hag kafel kwenye chemistry ya timu , no team work
Na kocha mzuri ni yule anaye badilika kulingana na Wachezaji waliopo.
Timu hii hii akipewa kocha Mwingine ina wwza tembeza ball sana
Gunnar alikuww mchocu lakini alikuwa na style ya kutafuta magoli si 10 Hag
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
kabla ya kusaini mkataba si tuliambiwa katoa masharti yake ndo mana kakubali kuja na kwann alimkataa yule babu wakati alikuwa anasema ukweli na mzuri kwenye usajili ! sababu gani ilimfanya amtake mount kwa nguvu zote au alilazmishwa ? hata tusiojua mpira kuna viungo kibao wazuri tunawajuaKama wewe mpka leo unaamin tatzo ni makocha basi huijui Manchester United
Huyo kocha uwezo mdogoukitaka kujua mtupu ili acheze mpira kama ajax lazma apate wachezaji wengi wa ajax au alivyomkosa de jong ndo basi tena hawezi kucheza hivyo yani dunia nzima mchezaji ni de jong tu na angempata kisha akaumia msimu mzima ?
Umeongea ukweli mtupuMashabiki ni wanafki sana na nimegundua fans wengi wa man united hawajui tatizo ni nini mbona Liverpool, arsenal hizi team Zipo chini ya wa marekani na mbona hazina tatizo km man united Sawa grazzers hawajui mambo ya mpira kwani Kuna lazima mmiliki akajua mambo ya mpira
Miaka yote wanatoa pesa kama ten Hag Ana kisingizio gani
Casemiro + malacia +antony+ mount+ baydir + martinez + hojlund +onana + amrabat na regulon
Hawa wote uki jumuisha Me spend inafika £400 millions
Hakuna kocha alie spend pesa nyingi kuliko huyu yoyote alie wahi pita miaka ya karibuni na
Hapa kosa la grazzers ni lipi Hawa wote ame wataka mwenyewe kocha kaletewa na bado hawezi kuwatumia na ukiangalia Hawa wote hawaendani na falsafa yake ya mpira ukitoa onana na lisandro walio bakia wote sio wa total football why a spend pesa nyingi kwa wachezaji ambao hawaendani na mbinu zake
Tatizo ni huyu huyu kocha ni avarage kocha
Pale Ajax alikua Ana fanyiwa kila kitu na van de Sar huku akapewa mamlaka ambayo makocha wote walio pita hawajapewa ame sikilizwa km sir Alex anacho taka anafanya
Kinacho fanyika uwanjani ni kipi kocha Ana jeuri kiburi hashauriki yeye kila kukicha mizozo na wachezaji
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
ETH kashapagawa ,anasema KAMWE hataweza kucheza Kama Ajaxkabla ya kusaini mkataba si tuliambiwa katoa masharti yake ndo mana kakubali kuja na kwann alimkataa yule babu wakati alikuwa anasema ukweli na mzuri kwenye usajili ! sababu gani ilimfanya amtake mount kwa nguvu zote au alilazmishwa ? hata tusiojua mpira kuna viungo kibao wazuri tunawajua
Ana hoja ,unajua Kwanini ETH ndiye kocha pekee aliyepewa nguvu katika usajili ,na ndiye kocha aliyepewa title ya manager toka Sir Fergie?Kama wewe mpka leo unaamin tatzo ni makocha basi huijui Manchester United
Unajua sababu ya ole gunner kutoka united, ametuacha nafasi ya sita EPL.Ana hoja ,unajua Kwanini ETH ndiye kocha pekee aliyepewa nguvu katika usajili ,na ndiye kocha aliyepewa title ya manager toka Sir Fergie?
ETH ndiye kocha ambaye Sajili 98% Zina Baraka zake ,
Alimtaka Anthony , Grazzer family wakaona wasirudie makosa ya kutompa kocha mahitaji yake Kama walivyofanya nyuma , Grazzer wakavunja benk wakatoa €100m ili aridhike
Akamtaka Onana,mount,amrabat ,Sajili zote hizo Grazzer family wakapambana azipate kwa gharama yoyote
Na isingekuwa FFP angeletewa na mabeki aliowataka
Kwanini Sasa yeye Kama kocha asilaumiwe kwa kushindwa kuweka mifumo mizuri ,n.k
Hao wachezaji wote aliowataka wote profile tofautitofauti
Grazzer family ndio walihakikisha hata kwa Frenkie De Jong wanatoa pesa Barca wanayoitaka ,tuliona had Barca walikubali kumuuza kwa €75-85m ,deal ilikuwa agreed
,Mwisho FDJ alikataa mwenyewe
Ni kocha gani amewahi pata sapoti kubwa kiasi hiki toka aondoke Fergie?
Amuulize mwenzie Ole gunar aliwahitaji kina Bellingham,Jude,rice,Caicedo,n.k hakuletewa ,akaletewa Cr7
Na bado Ole hakuwa outplayed na promoted teams,hakukosa structure ya uchezaji .,
Tatizo haoneshi dalili za kufanya hivo Leo wale kesho ,Kama jahazi linaonesha limeshaingia maji linazamaUnajua sababu ya ole gunner kutoka united, ametuacha nafasi ya sita EPL.
Muda mbaya ukifika, umefika.
Kikubwa tuvumilie, na tuanze kutafuta wachezaji sahihi, umri sahihi, na kwa wakati sahihi.
wachezaji wa United ni wachovu sana na hawaumii kwa ajili ya timu.
Kosa la ETH ni bado hajaweka chemistry na kuwapa wachezaji fighting spirit ya kuleta matokeo dakika ya 1 mpk 90, match 1 had nyingne.
Lakini akipewa muda vyote, atavifanya
Tumpe miaka mingapi mkuu?? aweke hiyo chemistry wachezaji sahihi wake si ndo kina antony na malacia na mount au kuna wengine tusubiri wengine?.Unajua sababu ya ole gunner kutoka united, ametuacha nafasi ya sita EPL.
Muda mbaya ukifika, umefika.
Kikubwa tuvumilie, na tuanze kutafuta wachezaji sahihi, umri sahihi, na kwa wakati sahihi.
wachezaji wa United ni wachovu sana na hawaumii kwa ajili ya timu.
Kosa la ETH ni bado hajaweka chemistry na kuwapa wachezaji fighting spirit ya kuleta matokeo dakika ya 1 mpk 90, match 1 had nyingne.
Lakini akipewa muda vyote, atavifanya
Fighting spirit ni km ile tulionyesha against Barcelona mwaka jana.Tumpe miaka mingapi mkuu?? aweke hiyo chemistry wachezaji sahihi wake si ndo kina antony na malacia na mount au kuna wengine tusubiri wengine?.
Duh basi kazi ipo ni vipigo tuErik ten Hag is not on close terms with many of #mufc’s players and a perceived lack of charisma on his part has frequently been cited.
@TheAthleticFC
Kazi ya ukocha ni ngumu sana aiseee vaa viatu vya Erik sasaivi kwanza na wenda anafanya kila kitu kwenye uwanja wamazoezi ila wachezaji tu wameamua kumchania mkeka [emoji1787][emoji1787][emoji1787]The comment about wanting to “play more football” after the win over Brentford, made by Ten Hag when explaining his decision to take Casemiro off at half-time, did not go down well inside the dressing room.Others raised eyebrows at Ten Hag’s decision to leave Raphael Varane out of the starting XI, picking Jonny Evans instead for United’s derby against Manchester City. [
@TheAthleticFC
] #MUFC