Tukiachana na utumbo wa Glazers, ni kitu gani cha kubadilisha ili Man Utd iboreshe performance?

Eli Cohen

JF-Expert Member
Jun 19, 2023
1,311
4,019
Haika tena Old Trafford sio theatre of dreams bali imekuwa ni theatre of nightmares.

Ni kweli glazers wanazingua, ila tukumbuke ETH ameshatumia 400ml katika usajili, hii 400ml ambayo karibia klabu tatu hivi za utajiri wa chini zilizo juu ya Man Utd katika msimamo hazijatumia hio pesa misimu kadhaa.

Mimi nadhani recruitment ya wachezaji ilikuwa mbovu chini ya ten hag. Huyu antony amenunulia 100ml wakati akiwa na stats za chini sana na huku akiangalia zaidi potential yake. Lakini potential tulikuwa nazo academy kwa garnacho na pellistri.

Juzi amemchukua mount. Kwa aina midfield tuliyonayo haikuhitaji mount na bruno pamoja, angalia sasa tunavyopwaya.

So nafikiri cha zaidi ni kupata head of football operations au sporting director, ambae ni mzoefu na alieko technical zaidi ili recruitmet za wachezaji ziwe za maana.

Pia ukweli ni kwamba tactics za eth nashindwa kuelewa ni kwamba zimekataa au wachezaji hawaziwezi. Maana hadi sasa sijaona identity maalum katika hii team yani wanacheza kama hawajui wanachofanya.

Kipi unaona cha kudhibiti pale OLD TRAFFORD, Toa maoni.
 
Angalia kikosi cha Ferguson anachukua ubingwa na cha sasa...

Ukweli sasa hamna wapiga kazi zaiid ni ubishoo kwa vile wanalipwa pesa nyingi sana...

Wachezaji pale wengi hawafai kucheza Man utd karibia 98% yaani uwezo mdogo labda wakacheze West Ham hata huyo Anthony ni hovyo kabisa.
 
Kweli mkuu.
 
Bro km una deni CRDB au NMB, tuma account number nikulipie.
Umeongea kitu.🖐
 
Shutuma nyengine kwa Glazers ni za uonevu tu, Ukweli ni kuwa ETH amevurunda kupita kiasi. Man Utd always wana spend Big tatizo ni poor spending.
Sure mkuu, poor spending mara dan james, mara antony, mara amad, amara mount, yani ni crisis
 
Haika tena Old Trafford sio theatre of dreams bali imekuwa ni theatre of nightmares.

Ni kweli glazers wanazingua, ila tukumbuke ETH ameshatumia 400ml katika usajili, hii 400ml ambayo karibia klabu tatu hivi za utajiri wa chini zilizo juu ya Man Utd katika msimamo hazijatumia hio pesa misimu kadhaa.

Mimi nadhani recruitment ya wachezaji ilikuwa mbovu chini ya ten hag. Huyu antony amenunulia 100ml wakati akiwa na stats za chini sana na huku akiangalia zaidi potential yake. Lakini potential tulikuwa nazo academy kwa garnacho na pellistri.

Juzi amemchukua mount. Kwa aina midfield tuliyonayo haikuhitaji mount na bruno pamoja, angalia sasa tunavyopwaya.

So nafikiri cha zaidi ni kupata head of football operations au sporting director, ambae ni mzoefu na alieko technical zaidi ili recruitmet za wachezaji ziwe za maana.

Pia ukweli ni kwamba tactics za eth nashindwa kuelewa ni kwamba zimekataa au wachezaji hawaziwezi. Maana hadi sasa sijaona identity maalum katika hii team yani wanacheza kama hawajui wanachofanya.

Kipi unaona cha kudhibiti pale OLD TRAFFORD, Toa maoni.
Tatizo kocha hamna kitu laana za kumtenga Sancho zipo mpaka atimuliwe
 
uyo sancho alipopewa nafasi alifanya nn
Kocha wenu mpumbavu hasa anavyotaka timu icheze man united ni timu ya kukimbia muda wote yeye analete ujinga wa build up from the keeper mpumbavu mtalia sana msimuu na Christmas hafiki yule mbwa wenu
 
Haika tena Old Trafford sio theatre of dreams bali imekuwa ni theatre of nightmares.

Ni kweli glazers wanazingua, ila tukumbuke ETH ameshatumia 400ml katika usajili, hii 400ml ambayo karibia klabu tatu hivi za utajiri wa chini zilizo juu ya Man Utd katika msimamo hazijatumia hio pesa misimu kadhaa.

Mimi nadhani recruitment ya wachezaji ilikuwa mbovu chini ya ten hag. Huyu antony amenunulia 100ml wakati akiwa na stats za chini sana na huku akiangalia zaidi potential yake. Lakini potential tulikuwa nazo academy kwa garnacho na pellistri.

Juzi amemchukua mount. Kwa aina midfield tuliyonayo haikuhitaji mount na bruno pamoja, angalia sasa tunavyopwaya.

So nafikiri cha zaidi ni kupata head of football operations au sporting director, ambae ni mzoefu na alieko technical zaidi ili recruitmet za wachezaji ziwe za maana.

Pia ukweli ni kwamba tactics za eth nashindwa kuelewa ni kwamba zimekataa au wachezaji hawaziwezi. Maana hadi sasa sijaona identity maalum katika hii team yani wanacheza kama hawajui wanachofanya.

Kipi unaona cha kudhibiti pale OLD TRAFFORD, Toa maoni.
mateso yataendelea kama tu wale vipara wawili watendelea kuwa wamiliki wa club maana wameshindwa kurecruit watu sahihi kuendesha club asa club kubwa kama united inashindwa kuuza wachezaji hii ni kutokana hawapo watu wa sporting kwenye timu

mtu kama scott,maguire,lindelof,martial, hawastahili hata kuvaa jezi ya united koz performence yao ni kama mvua za dar then tunashindwa kuwauza kutokana na watu wa kufanya iyi kazi hawapo real club kama unites inakosa sporting director?

though kocha nae lazima huu msalaba aubebe koz timu hadi sasa aieleweki inacheza style ipi ya mpira direct au total? yan timu kama liverpool,city,arsenal style yao inajulikana why united?

wachezaji hawajitumi kocha lazima apa piah alaumiwe how anashindwa kuhandle wachezaji wake but hii scenario anambayo tunaendelea kuishuhudia toka kipind cha van gaal,jose,ole na ten hag it seems ikifika msimh wa pili ni kama wachezaji waacha kabisa kumuelewa mwalimu na kufanya team iperform vibaya hili nalo liangaliwe kunawachezaji virus kwenye timu.

kwa sasa kocha ni responsible kwa haya yanayotokea tulitegemea makubwa sana baada ya performance ya last season but imekuwa kinyume dah

##Glazers out ##
 
Kocha wenu mpumbavu hasa anavyotaka timu icheze man united ni timu ya kukimbia muda wote yeye analete ujinga wa build up from the keeper mpumbavu mtalia sana msimuu na Christmas hafiki yule mbwa wenu
iyo ndo identity ya united toka kipnd cha feg but tulitegemea anakuja na project na style ipii mbona msimu ulipita timu imecheza poa why saiz
 
Back
Top Bottom