Na katika hali kama hii...kinachofuata ni kukaziwa adi na watoto wadogo yaani apa kina palace na wolves wale....maana wanaamin wakikomaa kwako wanachukua points vizur tu kwakuwa wanajua hivi sasa Man Utd ni papatu papatu na hamshindi kwa uwezo wa timu kama timu.Team imekuwa ya kijinga sana hii, sikui ETH anafundisha nini tu. Hatueleweki tunacheza mfumo gani, hatuwezi kupiga pasi 5 bila kupoteza mpira, huko mbele watu wanapishana kama wanaenda sokoni(hakuna ubunifu wowote).
Kama tunapigiwa mpira mwingi hivi na kateam ka Denmark, EPL tutamaliza nafasi ya ngapi..?
Mkuu sio mzuka tu KIUKWELI MANCHESTER DERBY...haivutii tena maana ni ONE SiDED FOOTBALL mshindi anafahamika....na sio ilo tu Man united wanashindwa ata kuonyesha kandanda safi dhidi ya wapinzani wao Man City...Maisha yanitese na Man U initese pia.??.
Nimeamua kurudi nyuma kidogo..mechi zetu hata hazina mzuka tena
Tena uyo dogo wenu PELLISTRI Ndo aliongea pumba kabla ya mechi ya jana....kuwa "Akitokaga na girlfrend wake kuzunguka pale jijini manchester haonagi mtu ata mmoja akiwa amevaa jezi ya City"....Pep alivyoulizwa ilo swali na pundit nae akajibu kisiasa kuwa " Atajaribu kuwauliza Puma kwanini jezi za Man City zimeisha madukani pale manchester".
Tuliwaambia mpira wa janja janja ni mbio za sakafuniTeam imekuwa ya kijinga sana hii, sikui ETH anafundisha nini tu. Hatueleweki tunacheza mfumo gani, hatuwezi kupiga pasi 5 bila kupoteza mpira, huko mbele watu wanapishana kama wanaenda sokoni(hakuna ubunifu wowote).
Kama tunapigiwa mpira mwingi hivi na kateam ka Denmark, EPL tutamaliza nafasi ya ngapi..?
Daah!...yani nimesoma POST YA UYO JAMAA NIKAHISI KUCHEKA SI KUCHEKA...MAANA ALICHOANDIKA ANAKIJUA MWENYEWE.Wengine muwe mnaenda kulima njegere tuu
Umeanza sasa.Tuliwaambia mpira wa janja janja ni mbio za sakafuni
Mkasema 7Hag nomaaa
Wazee wa gengeni
Umeanza sasa.Tuliwaambia mpira wa janja janja ni mbio za sakafuni
Mkasema 7Hag nomaaa
Wazee wa gengeni
[emoji23][emoji23][emoji23] Acha kuwafananisha Azam na vitu vya kijinga kijinga.Man Utd ni Azam watupu!
Ukingoni zimeishia mbio za sakafuni.Umeanza sasa.
[emoji1]
Dah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]